Kwa bahati mbaya mke ameshika ujauzito tena

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?

Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!

Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
 
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?

Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!..

Acheni tu jamani, omba isikukute
 
Kaitoe kunusuru afya ya huyo mtoto (mtu kamili) wa miezi 9, hiyo mimba haina thamani kuliko huyo mtu.
 
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?

Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!..

Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Pumbavu kweli, hebu mshukuru Mungu acha kufuata ujinga wa watu. Ole wenu mtoe hio mimba
 
Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo

Usithubutu kumwambia hata kwa utani kwamba akatoe mimba hiyo ni damu yako sharti uwajibike kwayo cha kufanya angalia mimba ina miezi mingapi kama ni chini ya miezi mitatu aendelee kumnyonyesha mtoto ikifika miezi mitatu aache msubiri uzao wenu.

Unaweza ukamshauri aitoe mimba akaitoa kweli akawa ndo mwanenu wa mwisho ondoa hilo wazo kichwani.
 
Nimekuelewa
 
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?

Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!..

Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Kinacho kusumbua ww ni ego yako.

Swallow your pride accept it. Isitoshe ni mke wako, mambo ya kuonekana primitive ni ya kizamani, kwani kuna chochote wanakusaidia?

Ww una hofu kumtia mimba mke? Wenzako wana tia mimba michepuko na mke ni mzazi na bado hawa panic
 
I'm too weary, yaani tuna mtoto wa miezi karibia 9 sasa, ila mke wangu jana kapima ujauzito baada ya kuhisi uchovu, kwa masikitiko makubwa ni mjamzito. Nitaficha wapi sura yangu Mimi? Naheshimika mno inakuwaje wakijua mke wangu mjamzito tena?

Yaani nionekane primitive Mimi? Nafikiria nimuambie tutoe ila navuta muda, mke wangu ndio chanzo cha yote, ananipa show huku mzunguko kausahau, na mimi siku reason!..

Nafikiria nimuambie akaitoe, naombeni mawazo yenu Wanajamvi!! Ndo nadhalilika hivyo
Kawaida
 
Yaani nionekane m-primitive mimi?
Pumbavu, shenzi kabisa. Wewe ni liprimitive la akili, elimu, muonekano na Kila kitu. Mamaako angekutoa Mimba ungejua kusema hata hiyo primitive? Kabla ya kutoa hiyo Mimba nenda kwa mamaako akakutoe kwanza wewe. Hata hao wanaokuheshimu wanaheshimu mtu zuzu kabisa. Wakijua umetoa Mimba ya mkeo ndo utadharaulika kuliko hata mavi, pumbavu kabisa. Vijitu vingine vikishapata vihela bwana vimatako vinalia mbwata maamuzi wanakuwa wanayatolea matakoni Kama ushuzi.

Mimi nakulaani kabisa Leo ukitoa hiyo Mimba ya mkeo na mkeo akakubali laana ya Mungu na mamaako na Mimi viwashike nyote. Mkeo alikataa mwache usimlazimishe laana hii ubaki nayo wewe mwenyewe na ukimlazimisha Basi laana hii ikushike wewe mwenyewe.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom