kwa asili tu ipo hivi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa asili tu ipo hivi

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kichwa Ngumu, Apr 14, 2012.

 1. Kichwa Ngumu

  Kichwa Ngumu JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 1,726
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Mawifi hawaelewani vizuri hata kama hawajawahi kuonana - sijui ni kwa nini?

  mkwe anagopeka sana; hasa baba wa mtoto kike na mume wa mtoto wake na mtoto kike na baba wa mume wake - unaweza kuielezea


  Mtu mfupi kuwa na panic na hasira kunapotokea kutoelewana kidogo tu hasa na mtu mrefu


  Je, unavijua vitu vingine ambavyo vipo kwa asili? au unajua vya hapo juu vinasababishwa na nini? karibu
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Apr 15, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Wanawake hawayaamini maamuzi yao hadi wacomfirm kwa wanaume
   
Loading...