Kwa application za degree kwa wenye Diploma

CAS Applications Now Closed




We are finalizing the guidebook for applicants with diploma qualifications. The system will be open for applications on 15th August 2016. We applogise for delays.

Ubaya mnaambiwa tarehe 15 lakini saa hakuambiwi
 
Kwa Mujibu wa TCU mara ya kwanza walisema Tarehe 31 July..
Wakahairisha(Bila kuomba Radhi) na kusema Tar8 August..

Lakini mpaka sasa Tangazo Lao Linasomeka Hivyohivyo Tar8 August wakat imekwishapita..

Kimsingi Tunaishi Maisha Ambayo Yalipaswa kuishi Nyani..
Taasisi kubwa na inayoendeshwa na wasomi,na ambayo ni backborn ya uhai wa maendeleo ya taifa letu hawakupaswa kufanya mambo ya kitoto kama haya..

Wangekuwa wanapokea simu zao ningewauliza WANAVUTA BANGE YA WAPI.??
Punguza hasira usituharibie kazi tafadhari.... Muda ukifika tutawataarifu.
 
wa wadogo zangu mliomaliza kidato cha sita na wa kidato cha nne mnaohitaji info kuhusu vyuo vya china(kozi,ada na admission process) kwa mwaka 2016 ninaweza kuwasaidia na i can help with admission process too.tuwasiliane kupitia +8613065131363 whatsapp only.na kwa wale form six science waliokosa sifa za kujiunga na shahada foundation courses za mwaka 1 pia zipo .hii ni kwa wanafunzi wanojilipia wenyewe
DUU!!
 
Watarekebisha Na GPA ?, au inabaki hivyo hivyo ya 3.5?, maana wengine kma mm Ni 3.2!, mwenye kufaham hilo waba jamvi
 
Are they still finalizing the guidebook,,,,,,,,?


NACTE Walikwisha Jitayarisha Kwa GuideBook Yao, Lakini TCU walikurupuka Na Kuvamia Kwa Kuwastopisha NACTE wasidahili Shahada, Hatimae Sasa Wanaandika GuideBook Kinjianjia Usiku na Mchana Na Kudai eti Wanafinalize! Kumbe Ndiyo Kwanza Walikuwa Wanaianza Sasa...
Sasa Njoo Ucheki Matatizo na Kasoro Kwenye Hiyo GuideBook Yao Ya Kukurupuka
 
Back
Top Bottom