Kwa application za degree kwa wenye Diploma

Kwa application za degree kwa wenye Diploma

Tuwe na subra ilikua sio kaz rahsi kuhama nacte kwenda tcu maana yalikua maamzi ya kukurupuka so kunakazi kumbuka hadi gpa wamesema 3.5 mtuwasubiri wataongezea namda wakufanya applctn
 
1470914137627.jpg
 
TCU wanasema wanashughulikia guide book ya diploma hvyo tusubiri mpaka tarehe 15. kwa uhakika zaidi waweza cheki kwenye website yao, tangazo hilo wametoa mda c mrefu
 
Bora wameiondoa ile ya "SOON" na tumejua nn kinaendelea maana hilo lingekaa hadi wiki! Ahsante kwa taarifa Mkuu!
 
TCU kama dem ambae hakupendi, kalenda deile kama hivyo yani.. utamvumilia kwa kuwa unataka kumtafuna, sasa akija kuachia hio tarehe 15, huo mgegedo wake, ule wa kikosi cha mizinga kwa Duli unasubiri.

TCU wanasema wanashughulikia guide book ya diploma hvyo tusubiri mpaka tarehe 15. kwa uhakika zaidi waweza cheki kwenye website yao, tangazo hilo wametoa mda c mrefu
haina neno baba, washugulikie tu, sisi tunajiandaa kwa mchuzi wa pweza
 
CAS Applications Now Closed

We are finalizing the guidebook for applicants with diploma qualifications. The system will be open for applications on 15th August 2016. We applogise for delays.
 
TCU kama dem ambae hakupendi, kalenda deile kama hivyo yani.. utamvumilia kwa kuwa unataka kumtafuna, sasa akija kuachia hio tarehe 15, huo mgegedo wake, ule wa kikosi cha mizinga kwa Duli unasubiri.
Haha
 
CAS Applications Now Closed

We are finalizing the guidebook for applicants with diploma qualifications. The system will be open for applications on 15th August 2016. We applogise for delays.
Okay, Let us wait!
 
Wangeacha tu mwaka huu udahili ufanywe na nacte, alafu mwakani wangefanya wao baada ya kujipanga kuliko hizi danadana zao
 
Kwa Mujibu wa TCU mara ya kwanza walisema Tarehe 31 July..
Wakahairisha(Bila kuomba Radhi) na kusema Tar8 August..

Lakini mpaka sasa Tangazo Lao Linasomeka Hivyohivyo Tar8 August wakat imekwishapita..

Kimsingi Tunaishi Maisha Ambayo Yalipaswa kuishi Nyani..
Taasisi kubwa na inayoendeshwa na wasomi,na ambayo ni backborn ya uhai wa maendeleo ya taifa letu hawakupaswa kufanya mambo ya kitoto kama haya..

Wangekuwa wanapokea simu zao ningewauliza WANAVUTA BANGE YA WAPI.??
Nahisi arusha jombaa.
 
Back
Top Bottom