Kwa application za degree kwa wenye Diploma

Kwa application za degree kwa wenye Diploma

Kibaya zaidi hawapokei simu...yani hawaeleweki wanamalengo yapi kwa wanafunzi wa diploma.
 
Mlioko dar kesho mwende kwenye ofisi za TCU ili mmpate majibu kamili kuhusu nini kinaendelea.
 
Jaman nashindwa kuelewa lini application za wenye diploma zitaanza! Sijajua TCU wametoa taarifa gani na mwisho ni lini? Nisaidieni jamani!
Ngojeni kwanza tumalize na wanafunzi wa kidato cha sita nyie baadae baada ya mwezi wa nane,kwanza nyie mna kazi
 
Ngojeni kwanza tumalize na wanafunzi wa kidato cha sita nyie baadae baada ya mwezi wa nane,kwanza nyie mna kazi

Mkuu Sio Sote Tulio na Kazi, Wengine Tumemaliza Diploma Kabla Ya Kuajiriwa au Kujiajiri Tunataka Tuunganishe Na Bachela Kabisa.
 
Mkuu Sio Sote Tulio na Kazi, Wengine Tumemaliza Diploma Kabla Ya Kuajiriwa au Kujiajiri Tunataka Tuunganishe Na Bachela Kabisa.

Kazi? au unamaanisha ajira? kama ni kazi hata wewe unayo maana najua unaosha vyombo na kufagia uwanja hapo kwenu.
 
jamani mlioko dar mwende kwenye ofisi za TCU ili mmpate majibu kamili kuhusu nini kinaendelea
 
Ukienda pale mapokezi jibu ni short and clear bado me nilienda kwa mambo yangu ila katika uliza uliza
 
Back
Top Bottom