Kwa anayemjua huyu mtoto

Kwa anayemjua huyu mtoto

MwanaWA Ebrania

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2017
Posts
939
Reaction score
1,147
Ndugu, walezi na wazazi wa mtoto huyu,

Anaitwa Shukuru Charles mtawa. Umri - 9. Anatokea gongo la mboto mwisho wa lami. Elimu : hasomi. Jina la mama yake anaitwa mama mauwa. Dada yake anaitwa mauwa... Mtoto huyu anazunguka mitaa ya k/koo, akili zake haziko sawa, hivyo hawezi kujieleza vizuri.

Zaidi ya mara tatu tofauti nimemnusuru akitaka kugongwa na gari, leo nimemuokoa maeneo ya fire [emoji91] alitaka kugongwa na mwendo kasi.

Tumemchukua tuponaye kambini kwetu makongo juu piga no 0657579300/ 0757698500.

​
DSC_2914.JPG
 
Umefanya jambo jema Mkuu,

Ina maana wazazi wake wametulia tu na wala walikua hawamtafuti? wazazi wake walete majibu yanayoeleweka ama sivyo hata kama watapatikana basi wanaweza kumuachia tena akaingia kitaani.
 
View attachment 2557521
Huyu mtoto anaonesha,akipata matibabu ya hospital na malezi mazuri,aende shule,atakuja kuwa mtu muhimu sana.
 
Pamoja sana umeonesha jambo la kiungwana sana bro.

Hatuwezi fanya jaribio kuwasiliana na kituo cha polisi cha G-Mboto inawezekana wameshareport missing person case.
 
Umefanya jambo jema Mkuu,

Ina maana wazazi wake wametulia tu na wala walikua hawamtafuti? wazazi wake walete majibu yanayoeleweka ama sivyo hata kama watapatikana basi wanaweza kumuachia tena akaingia kitaani.
Kabisa kabisa, kuna mambo yanaumiza sana[emoji22]
 
Pamoja sana umeonesha jambo la kiungwana sana bro.

Hatuwezi fanya jaribio kuwasiliana na kituo cha polisi cha G-Mboto inawezekana wameshareport missing person case.
Oooh! sijawaza. Ni wazo nzuri linafaa.
Kama upo jirani fanya msaada hapo
 
Umefanya jambo la kiungwana sana Kama utaweza anza mawasiliano na kituo kilichokaribu na wewe wasaidie mawasiliano kituo cha mazingira anayoelezea mtoto itakuwa poa sana
 
Back
Top Bottom