tata mvoni
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 534
- 81
Habari wana JF naomba mtu yeyote anayejua jinsi ya kujiunga na actuarial society ya Uingereza anijuvye pia aniambie ada huwa ni pound ngapi? Pia na web ambayo itanisaidia kupata notisi nzuri kwa ajili ya kozi hiyo .NASHUKURU KWA WOTE MTAKAOCHANGIA