Hiv one ya 12 unaweza kwenda?MARA NYINGI KWA MIAKA ILE WTULIKUWA TUNAENDA WENYE DIVISION ONE MWISHO 14 AU MAMBO YAKIWA MAGUMU 17, PIA KOMBI UWE NA NA MINIMUM BBC. BUT SIKU HIZI ELIMU IMEPIGWA MATEKE HATA SIELEWI MARA LEO A+ KESHO B+ KESHO KUTWA S MARA DIVISION FIVE MAJANGA TUPU
Alipangwa shule gani mkuu? Kati ya hizi kibaha, ilboru, mzumbe na tabora boys.Siku izi inakubidi upate minimum BAA kwenye combination unayoenda kusomea.. Hao wanaosema sijui kuanzia 7 hadi 11 ni uongo kwa sababu hizi shule siku zote wanangalia points tu za kwenye combination unayoenda kusomea.. Kwa mfano kuna mtoto wa ndugu yangu alipata division two points 18 lakini kwenye masomo ya comb alipata ufaulu mzuri yani alioata
Physics B chemistry A maths A japokuwa masomo mengine aliharibu ila alienda special school ... Kwa hiyo kwa ushauri kama unataka kwenda shule izi faulu tu masomo unayotaka kusoma unakwenda haijalishi umepata one ya ngapi..
Alienda tabora boysAlipangwa shule gani mkuu? Kati ya hizi kibaha, ilboru, mzumbe na tabora boys.
UnakwendaHiv one ya 12 unaweza kwenda?
Siku izi inakubidi upate minimum BAA kwenye combination unayoenda kusomea.. Hao wanaosema sijui kuanzia 7 hadi 11 ni uongo kwa sababu hizi shule siku zote wanangalia points tu za kwenye combination unayoenda kusomea..
Kwa mfano kuna mtoto wa ndugu yangu alipata division two points 18 lakini kwenye masomo ya comb alipata ufaulu mzuri yani alioata
Physics B chemistry A maths A japokuwa masomo mengine aliharibu ila alienda special school ... Kwa hiyo kwa ushauri kama unataka kwenda shule izi faulu tu masomo unayotaka kusoma unakwenda haijalishi umepata one ya ngapi..[/QUOTE
Ah sema DG ana BBB kwenye comb yake
AAA au AAB nakumbuka nilikuwa na ABB nikatemwa licha ya kupata 1 ya 12Mara nyingi kwa miaka ile wtulikuwa tunaenda wenye division one mwisho 14 au mambo yakiwa magumu 17, pia kombi uwe na na minimum bbc. But siku hizi elimu imepigwa mateke hata sielewi mara leo a+ kesho b+ kesho kutwa s mara division five majanga tupu
Unaenda cha msingi uwe na AAA kwenye kombiHiv one ya 12 unaweza kwenda?