masanja90
Senior Member
- Mar 1, 2018
- 115
- 115
ABB hawachukui mwisho AABOK apo nimekizi kigezo!
ABB hawachukui mwisho AABOK apo nimekizi kigezo!
YEAH UNAWEZA KWENDA MAANA INATEGEMEA SANA NA UFAULU WA MWAKA HUSIKAHiv one ya 12 unaweza kwenda?
Ni kweli kabisa hata mimi naelewa hivo.waliopangwa ilboru mwaka jana waliishia one ya 11 na AAB kwenye combination . naongea kitu nilichokiona na kushuhudiaABB hawachukui mwisho AAB
Basi ulikuwa kilaza yaani BBC kwenye combination unaenda kipaji??Mara nyingi kwa miaka ile wtulikuwa tunaenda wenye division one mwisho 14 au mambo yakiwa magumu 17, pia kombi uwe na na minimum bbc. But siku hizi elimu imepigwa mateke hata sielewi mara leo a+ kesho b+ kesho kutwa s mara division five majanga tupu
Kibaha hatuchukui twoAlipangwa shule gani mkuu? Kati ya hizi kibaha, ilboru, mzumbe na tabora boys.
Hata ilboru ni 7-11 namshangaa jamaa anasema two sijapata kuonaKibaha hatuchukui two
7-10
Then uwe na AAA max point 5 katika komb
Kwenye combination uwe na AAA au AABHiv one ya 12 unaweza kwenda?
hamna lolote mimi sikuwa na kipaji chochote na walinichagua kusoma Tabora .Hizi zinaitwa watoto wenye vipaji maalum.hata mimi sijui ni vipaji gani hivyo.
Ulifaulu kwa zari LA mtihan kakahamna lolote mimi sikuwa na kipaji chochote na walinichagua kusoma Tabora .
Unamshauri aende private kwa nini? Vipi ulizinguliwa na woso ukaondoka na div 3 nini?umependa majina au elimu inayotolewa hapo? nikushauri kama una uwezo kasome shule za private hizi za serikali ni kwa sababu tu uwezo mdogo. binafsi nimesoma Tabora wanachukua kuanzia point 3 mpaka 5 kwa masomo ambayo combination imebalance pale kuna PCM PCB na HGL
Yes mkuu kuna MTU alienda na hiyo T.BHiv one ya 12 unaweza kwenda?
Nimekupata mkuuMara nyingi unachaguliwa moja kwa moja kulingana na alama ulizopata. Div one ya point 7 hadi 14, huku ukiwa na pointi 3( A flat) kwenye combination.
Pia kuhamia sio rahisi unless umetoka shulw hizi kibaha. Mzumbe, kismir, ilboru au tabora wavulana.