Tuna zaidi ya wiki sasa tangu tuchanjwe chanjo ya COVID19 kwa mbwembwe sana huku makao makuu ya nchi lakini mpaka sasa hakuna taarifa ya uhakika juu ya lini na kwa njia gani tutapata hizo kadi za chanjo.
Nikiuliza pale Benjamini Mkapa Hosp naambiwa mara tunasubiri za online mara tunasubiri Wizara itatuma, kwa kifupi hawaeleweki.
Nimeshaahirisha safari yangu ya nje mara mbili sasa sababu sina kadi. Ni huzuni kubwa
Najiuliza hivi Wizara ilikuwa inategemea nini kuleta chanjo nyingi kadi chache au kadi nazo mpaka watupe msaada pia?
Nawasilisha