Kwa anayejua range ya mshahara wa matechnician wa Universities

E walaa ila na wakati mwengine wao pia wanakuwa na master hata PhD .....
 
Na hiki kigezo cha GPA mie ningelikuwa mshauri sidhani kama kina faida saana mtu aangaliwe uwezo wake binafsi katika ku delivery materials kwa wanafunzi, vyuoni kuna chenga nyingi za panya kupiga GPA kubwa
Kama hukuwa serious kwenye kusoma tutaamini vipi utakua serious kufanya tafiti na kufundisha watoto wetu?
 
Mkuu wewe ndio hukumuelewa yeye anataka ma Technician wa vyuo kwa level zao za elimu kuanzia ma Technician wenye degree master na Phd.
 
Ok good sasa Mimi nipo hapo katika Professional designation na si education level
 
Exactly
 
Mkuu wewe ndio hukumuelewa yeye anataka ma Technician wa vyuo kwa level zao za elimu kuanzia ma Technician wenye degree master n

Ok good sasa Mimi nipo hapo katika Professional designation na si education level
Sasa kwan mavyouni
Hapo mkuu nimekuelewa kwa asilimia zote.

Na nimejifunza kitu kipya. Shukran
 
Kwa vyuo vikuu, neno technician lina maana tofauti na uliyo nayo wewe. Hii ni kada inayojitegemea na wapo hadi wenye PhD na mishara yao ina scale maalumu. Hawa ni wasaidizi wa wahadhiri kwenye shughuli zote za kimahabara. Na lazima awe na elimu isiyopungua degree moja siku hizi.
 
Sasa nimeelewa
 
Asante. Na kwa faida ya mleta uzi, mishahara yao haina tofauti kubwa na wahadhiri, wenye uwezo hujiendeleza hadi kufikia hatua za kuwa maprofesa. Ni kama ilivyo kwa librarians. Usishangae chuo kikuu kukutana na professor in librarian, na ziko scale zao za kiutumishi mpaka level za profesa.
Kama mambo hayajabadikika sana, mwaka 2016, technician grade II, mshahara wake ulikuwa 1.4m
Sasa nimeelewa
 
Naona umetumia nguvu nyingi Sana,
Ila elewa Kuna technician huwa level yake ni bachelor mkuu. Sema sijui nikuambiaje.
a person employed to look after technical equipment or do practical work in a laboratory.
"a laboratory technician"
  • an expert in the practical application of a science.
  • a person skilled in the technique of an art or craft.
    "Liszt was one of the greatest piano technicians of all time"
 
A technician is a worker in a field of technology who is proficient in the relevant skill and technique,[1] with a relatively practical understanding of the theoretical principles.

Wewe utakuwa umemeza zile kuwa wewe ni Engineer unayo Bachelor ukiitwa Technician ni Kama umedhalilishwa.
Bila Shaka unapenda uitwe kwa jina la hadhi ya kisomi chako like Eng, Dr.

Hii ni Wikipedia

A technician is a worker in a field of technology who is proficient in the relevant skill and technique,[1] with a relatively practical understanding of the theoretical principles
 
Huyu ni meriam website.
Yaani usikariri kuwa mwenye diploma yake ya dit,must,pekee ndiye technician.


SINCE 1828


Log inSign Up
Games & QuizzesThesaurusWord of the DayFeaturesBuying GuideM-W Books

technician​

noun
Save Word
To save this word, you'll need to log in.
Log In

tech·ni·cian | \ tek-ˈni-shən \

Definition of technician


1: a specialist in the technical details of a subject or occupationa computer technician
2: one who has acquired the technique of an art or other area of specializationa superb technician and a musician of integrity— Irving Kolodin

Examples of technician in a Sentence​

They hired a technician to help maintain the office's computers. She is the lighting technician for the play.
 
Kuna mshkaji wangu fulani ni Technician ana posho nyingi na anasafiri sana anasukuma Vanguard 2012.

Sio kiviiile ila sio mbaya pia.
 
Kwa level ya Bachelor katika public universities mshahara wa huyo mtu ni kuanzia PUSS 4.1, wanaofahamu watakuja wakutafsirie hii scale. Karibu sana.
 
Kuna Technician mmoja alinifundisha Practical za Survey na GIS, pale Chuoni. Ni PhD holder.... Yupo Vizuri Sana....Tena Sanaaa Tu aliwahi sema wakati anaajiriwa pale Chuoni alikuwa na Diploma..

Vyuoni kuna academicians na technical staff na administrative staff. Unaweza kuwa na phd ila huna vigezo vya kua academic staff GPA ya undergrad and masters hivyo unakua technical staff. Ukiwa na Diploma wewe ni technical staff na unaitwa technician , if una degree or masters or phd na huna qualification za kua academician ni technical staff na utaitwa engineer, principal or chief engineer etc kutokana na experience kazini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…