Naomba kufahamu kuhusu kampuni ya GODTEC

Kashishi yetu

JF-Expert Member
Mar 22, 2014
3,127
2,945
Ndugu Wanajamiiforum,

Salamu sana.

Kwa ufupi yupo ndugu yangu ndo ameanza kuhudhuria mafunzo ya biashara na anatakiwa awe na smartphone,
Kisha kazi Yake ITAKUWA kuwasajili wajasiliamali.

mwisho was mwezi anapata laki Saba Hadi milioni moja.

Sasa nimeingiwa na wasi wasi mkubwa wa utapeli.

Nimeona nisitende dhambi , Ndo maana nimewauliza kwa anayejua Hili kampuni na. mwenendo wake .
 
Back
Top Bottom