MmasaiHalisi
Senior Member
- Jan 15, 2009
- 192
- 23
kwa yoyote ambae amewahi kuitumia hii gari,naomba anijulishe ubora wake,ulaji wa mafuta pia je mafundi wa Tanzania wanaweza kuzitengeneza hizi gari nimetokea kuzipenda sana,kuhusu spare nimefanya utafiti ughaibuni zinapatikana kwa bei nafuu.
Naomba mawazo yenu
katika BIG FOUR[BMW,M-BENZ,AUDI,VW]......VW ndio gari mbovu,low quality.....kuwa mwangalifu sana
Acha kumdanganya VW wana gari za maana sana tena imara,unazijua Tourang? Hiyo BORA sio nzuri lakini sikama vw zote ni mbovu sio kweli
Acha kumdanganya VW wana gari za maana sana tena imara,unazijua Tourang? Hiyo BORA sio nzuri lakini sikama vw zote ni mbovu sio kweli
katika BIG FOUR[BMW,M-BENZ,AUDI,VW]......VW ndio gari mbovu,low quality.....kuwa mwangalifu sana
Mkuu labda hiyo VW unayozungumzia wewe ni ya homemade ;-) Mimi naendesha VW mwaka wa saba sasa, nabadilisha model kwa model na hazijanisumbua hata mara moja. Kuna wengi wananunua magari kisha Service ni pale gari inapogoma kuwaka!! Kwa mtindo huo leo hii gari ya aina yoyote ile haina ubora. Gari inataka Service either kwa kilometer ama muda na sio kuendesha tu mpaka ligome. Na pia huwezi kusema kama zinakula mafuta ama La. kwa sababu kuna version za kila class. leo hii kuna VW inakwenda 29km/liter all after the model choice na ukubwa wa ingine unayotaka. Huwezi kutaka <machinr kubwa kisha upige kelele hizi gari zinanyonya mafuta kwa fujo, hapo tusiongelee uendeshaji wa mtu.
You mean Toureg? One mean mashine! Huyo anayesema VW mbovu sijui amekurupukia wapi!!
ukilinganisha VW na AUDI/M-BENZ/BMW......VW NI MBOVU,LOW QUALITY....samahani kwa mnaoendesha VW ila hapa nalinganisha na BIG BOYS.....BMW/AUDI/M-BENZ.....hata mimi nimeendesha VW kwahio naongea na experience yangu ya VW nikilinganisha na BMW/M-BENZ na AUDI.....kama unalinganisha na some toyotas sawa lakini ukilinganisha na OTHER GERMANS MACHINES VW NI YA MWISHO......
Mkuu bring hard factual evidence to support your argument. Maneno matupu hayavunji mfupa.
sasa mbona mnanichanganya je hiyo VW Bora ni mbovu,na je gari za VW ipi ni nzuri kwa matumizi ya huku kwetu Tanzania,pia hiyo Audi hapa Tanzania spare ziko
nenda online au popote kalinganishe VW unayoitaka na m-benz of the same class.....kalinganishe VW unayoitaka na BMW ya same class....do the same kwenye AUDI.......siwezi kukutafunia....VW ukilinganisha na BMW/M-BENZ/AUDI ni mbovu tu
prove me wrong.....
VW ni gari ya kawaida sana....kulinganisha na BMW/M-BENZ/AUDI ni mbovu tu...
asante T cleverly sasa kati ya BMW na AUDI ipi nzuri kwa mazingira ya Tanzania,