Kwa anayefahamu Lodge nzuri Mtwara na Lindi

Mmmmh[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] we si umesema umezaliwa iringa hapa mwaka wa ishirini vipi wakati thread zako zinasema una miaka 25
Kwa Mtwara ushindwe mwenyewe tu.
Kuna Naf Hotel,Naf Beach Hotel,Luwa Evergreen Hotel,BNN Royal Hotel,Msemo Beach,Old Boma,Korosho Lodge&Hotel,Tiffany Diamond Hotel kutaja chache tu.
Hizo nyingi unazipata google na Trip advisor. Unaweza kuangalia moja baada ya nyingine,chaguo ni lako.
😁😁Khaaaa upo wapi kijana
 
Asante mkuu gharama zikoje
 
Wewe umeambiwa gharama zisivuke 40 elfu huko naff na Tiffany mchezo?
 
Nataraji kuwa na safari ya Wiki mbili kwenye Mikoa ya Lindi na Mtwara, naomba kufahamishwa Lodge nzuri isiyozidi gharama ya Tshs 40,000/= pamoja na maeneo ninapoweza kupoza koo huku nikifaidi uumbaji wa manani.
Happy lodge, mitaa ya uhindini. Vyumba vizuri sana
 
Mpenzi huko nakusikia tu mi nipo mtwara mjini .....na hata hapa pia kuna maeneo siyafahamu kabisaaaa nasikia tu kwenye redio zao hizi
Nakuja Mtwara next week kuna lodge inaitwa Achiso Inn ...nzuri sanaaaa
 
Back
Top Bottom