Kwa anayefahamu jina halisi la mmea huu

Kwa anayefahamu jina halisi la mmea huu

Kwa
Salaam,

Nimejaribu kuuliza kwa watu wanaonizunguka wananiambia mmea huu unaitwa mlenda na wengine huutumia kama mboga ya majani.
Je, Kuna jina tofauti na hilo kwa kiswahili rasmi ama kwa kiingereza.
Naomba msaada katika hilo.
.

Dhamira kuu ni kupata scientific name na mengine kuhusiana na huu mlenda kama unavyojulikana.

Ninatazamia kufanya utafiti kuhusu mmea huu.
Asanteni.View attachment 1057018View attachment 1057020View attachment 1057021View attachment 1057022

Sent using Jamii Forums mobile app
Kiingereza huitwa CORCHORUS PLANT
 
Upo mwingine huitwa MBATA na meibgine JUTE Ni mtamu balaaa
Ni mtamu balaaa, hapo nahisi umekumbukia ladha yake mkuu.
Hii milenda husaidia sana kwa akina mama wajawazito Husaidia kuongeza madini ya chuma kwa namna yake.
Pia kwa watumiaji wengine husaidia kuondoa Matatizo ya mfumo wa umeng'enywaji wa chakula, mkojo, na hata upumuaji.
Ukipitia katika jamii hii utaona yale matatizo ya muwasho wa ngozi, na hutibu ngozi iliyoathiriwa na moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni s

Sahihi mkuu niliwahi kuwa na upungufu wa madini ya chuma nilipo kula MLENDA uliochanganywa na majani ya mlonge nikarejea katika Hali ya kawaida madini yakaongezeka.
 
Huu ni mlenda dume mlenda jike huwa mfupi tu kidizaini

Sent using Jamii Forums mobile app
Mfupi ambao ni jike huu hapa.
IMG-20190329-WA0013.jpeg
IMG-20190329-WA0012.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom