Salaam,
Nimejaribu kuuliza kwa watu wanaonizunguka wananiambia mmea huu unaitwa mlenda na wengine huutumia kama mboga ya majani.
Je, Kuna jina tofauti na hilo kwa kiswahili rasmi ama kwa kiingereza.
Naomba msaada katika hilo.
.
Dhamira kuu ni kupata scientific name na mengine kuhusiana na huu mlenda kama unavyojulikana.
Ninatazamia kufanya utafiti kuhusu mmea huu.
Asanteni.
View attachment 1057018View attachment 1057020View attachment 1057021View attachment 1057022
Sent using
Jamii Forums mobile app