Hivi huyu mkenya aliyegundulika kuwa na corona virus ni mkenya mweusi? Nauliza hivi kwa sababu huko Misri ni wazungu na waarabu tu waliogundulika kuwa na corona virus huku ngozi nyeusi ikipeta! Poleni Jirani zetu na tuombeane huku tukizingatia maelekezo ya viongozi.
Hadi sasa hatujajua asili yake, hatujui kama ni mweusi au mzungu aliyepata uraia. Ni kweli Afrika bado sijaona mweusi yeyote aliyedhurika na hiki kirusi japo mataifa yametajwa mengi. Rwanda kuna mhindi kapatikana nacho.
Bado wana sayansi hawajathibitisha kama ngozi nyeusi inauwezo wa kupambana na virus vya korona na isitoshe tz aliyepata corona ni mweusi mwenzetu bila shaka