Kwa anayefahamu: Je yule aliyegundulika na Corona virus ni Mkenya mweusi au ni Mkenya mzungu/mwarabu?

mbingunikwetu

JF-Expert Member
Feb 17, 2015
13,651
18,021
Hivi huyu mkenya aliyegundulika kuwa na corona virus ni mkenya mweusi? Nauliza hivi kwa sababu huko Misri ni wazungu na waarabu tu waliogundulika kuwa na corona virus huku ngozi nyeusi ikipeta! Poleni Jirani zetu na tuombeane huku tukizingatia maelekezo ya viongozi.
 
Huyu aliyegundulika na corona virus anaishi sehemu gani ya Kenya?
 
Hadi sasa hatujajua asili yake, hatujui kama ni mweusi au mzungu aliyepata uraia. Ni kweli Afrika bado sijaona mweusi yeyote aliyedhurika na hiki kirusi japo mataifa yametajwa mengi. Rwanda kuna mhindi kapatikana nacho.
 
Nataka kuvunja Record kwakuwa mtanzania wa kwanza kuleta corona nchini. Hapo vipi?


Hahah! Don't take it too seriously men, l'm joking, personally naiogopa mno.
 
Nataka kuvunja Record kwakuwa mtanzania wa kwanza kuleta corona nchini. Hapo vipi?


Hahah! Don't take it too seriously men, l'm joking, personally naiogopa mno.
Ukiitafuta kwa makusudi nashauri ikuue kabla hujaileta nchini na kuambukiza wengine🤣🤣 (Just kidding!)...
 
Bado wana sayansi hawajathibitisha kama ngozi nyeusi inauwezo wa kupambana na virus vya korona na isitoshe tz aliyepata corona ni mweusi mwenzetu bila shaka
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom