kwa anayefahamu anisaidie

kwa anayefahamu anisaidie

itakiamo

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,087
Reaction score
1,896
simu yangu inatatizo la kuzimika kila nikiiningia internet, natumi techno t343 kwa anayefahamu mambo ya simu tatizo linaweza kuwa nini?
 
Ok basi jaribu kutoa hiyo memory then hiyo simu ireset ianze upya.
Ikigoma tumia memory tofauti na hiyo kufungua net uonekama tatizo litaendelea.
 
Back
Top Bottom