Kwa anaeyujua kuhusu hili??

Kwa anaeyujua kuhusu hili??

Kifude

Member
Joined
Dec 6, 2012
Posts
31
Reaction score
5
Hv,jamani huyu wema sepetu amesoma wapi? Coz siamini kama kasoma kayumba secondary,.english yake ni nzuri sana...pia nani anaeweza kunisaidia kupata mawasiliano yake coz nashida nae xana
 
Kwani Kusema kingereza kizuri kinahusiana na shule? Inawezekana ikawa ndio lugha ambayo amekua akiongea tangu amezaliwa.
 
Mie pia nimesoma st kayumba, na nahisi kama najitahidi kuongea kiingilishi. Nikupe namba yangu?
(namaanisha namba ya uraia)
 
No yake ni 0755470652

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom