hekimatele
JF-Expert Member
- May 31, 2011
- 9,889
- 2,808
25% in 30-days...mmmmh!!!!
umeshtukia aina mpya ya wizi eeh?
25% in 30-days...mmmmh!!!!
25% in 30-days...mmmmh!!!!
kukopa ni dhambi.
Loan Shark....Habari wana JF.Kwa wale wanaohitaji mikopo midogo ya haraka inatolewa kuanzia 500,000 mpaka 3,000,000.
Dhamana ni muhimu.Kuanzia milioni moja dhamana ni gari.
Malipo ni kwa mwezi mmoja tu.
Asilimia 25% kwa mwezi.
KWA MWENYE MAHITAJI TU!
ili uwe na maendeleo ya ukweli lazima uwe unadaiwa mkuu
sawa mkuu tatizo bongo watu wanakomoana matatizo ya watu wengine wanafanya mradi kuna rafiki mmoja ana ki microfinance chake nikamuuliza nikitaka laki within a month narudisha vip akanijibu laki na nusu is that fair?
eti anasema umu pm.nakupaje mkuu?
Naona loan sharks ndani ya nyumba
Na mikopo ilobuniwa kitaalam ili isilipike.
vorshicht vor kredithaie
kukopa ni dhambi.