Huu ni wizi,umesajili haya mambo kisheria?Au unaibia serikali na wananchi wake,25% per month,huu wizi wa hali ya juu sana,acheni wizi.
Aina nyingine ya WIZI...
Tumeifikisha hapa TZ. Sisi wenyewe tunaibiana?
Waheshimiwa ni kweli huenda ukawa ni wizi, lakini usiombe ukapatwa na tatizo la ghafla/dharura na unahitaji pesa kwa ajili ya kutatua tatizo hilo na wakati huo hauna hiyo pesa, nakuhakikishia utakopa hata kwa 50%.....
Unajitajirisha kwa MATATIZO ya mwingine...Lol' Ombea basi watu wapate shida waje kukopa kwa 25%.... Wakati wao pia wanaomba wasipate shida...
Umenifurahisha sana mkuu, kwanza kabisa si husiki na huo mradi ila nimechangia topic tu. Bado narudia kwa kuwa haiwezekani watu wakakosa matatizo/mahitaji watu wameamua kuja na hiyo biashara ya kuwasaidia watu wa aina hiyo!
Mithali 27 : 7
Nafsi iliyoshiba hukinai sega la asali; Bali nafsi yenye njaa huona kila kitu kichungu kuwa kitamu.
habari yako mkuu, nahitaji 1.5 mill. nitakupata wapi tuonane.contact please