Natafuta mke wa pili

Cog

Member
Mar 18, 2018
89
189
Nimefikia maamuzi ya kuongeza mke wa pili kwakuwa mimi ni muislamu na dini inaruhusu, hivyo naomba kwa yeyote aliye tayari ani PM tuwasiliane.

Mie ni mtumishi serikalini ningependa mwanamke awe pia mtumishi, umri ni miaka 42, naishi Mtwara.
 
Mkuu sabb isiwe kwasbb wewe ni muislamu, suala ni kwamba uwezo wakuwatunza unao, pesa lazima iwepo mkuu tuulize sisi ambao tunamiliki hao watu, usijindaganye kwamba unauwezo wakuwaridhisha kitandani tu hilo ni jambo dogo wanawake wawili ni mtihani kama huna pesa za kutosha.
 
Katafute madrasa
 
Kwani kuongeza mke ni lazima huyo wa kwanza awe na kasoro? acheni kumpangia mtu maisha,
Mleta mada anataka kuongeza mke wa pili na ndio uamuzi wake,sasa mambo ya kumpangia na kujifanya sijui ndio washauri wazuri yanatoka wapi?

Unakuta mtu mwingine anafungua thread anaulizia Gari ya milioni 5 anunue,halafu anakuja mtaalamu wa kushauri watu,eti hiyo hela si bora uwekeze? unajuaje kama hajawekeza? tupunguze ujuaji.
 
Mkuu sabb isiwe kwasbb wewe ni muislamu, suala ni kwamba uwezo wakuwatunza unao, pesa lazima iwepo mkuu tuulize sisi ambao tunamiliki hao watu, usijindaganye kwamba unauwezo wakuwaridhisha kitandani tu hilo ni jambo dogo wanawake wawili ni mtihani kama huna pesa za kutosha.
Mpaka nimefikia uamuzi huu vyote hivyo nimeangalia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom