Kwa aliyepo/anayepajua TATA Africa

Kwa aliyepo/anayepajua TATA Africa

kindili kindili

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2013
Posts
242
Reaction score
54
jamani nina shida na mtu yoyote anaework huko, au hata kujua ya huko nina maswali mawili matatu ambayo nataka kuanzia nje hapa kabla sijaenda kukutana na muhindi wa huko, aksanteeee
 
Wadau kuna mtu anayeijua jua kampuni tajwa? Nataka kujua kama pale kwao pana show room ya magari madogo namaanisha ya kutembela, bei zake na n.k.

Kwa sasa siko Dar es Salaam, ninaomba kama kuna mtu ana taarifa zao kiasi anipatie.

Aksante
 
ndyo wanayo show room ya magar makubwa na madogo pia wapo nyerere road maeneo ya vingunguti km una tokea mjin shukia kituo cha karakana
 
Wanayo magari aina zote wapo maeneo ya vingunguti

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Vingunguti. Tokea airport shuka kituo cha vingunguti upande huohuo mbele mita 200. Tokea mjini shuka kituo cha karakana kisha vuka upande wa pili
 
Back
Top Bottom