Kwa akina kaka piteni hapa...

Kwa akina kaka piteni hapa...

Mapigo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
256
Reaction score
90
Ukiona unapendwa sana na Wanafunzi wa Kike wa shule za msingi na sekondari, ujue una Nyota ya KUISHI GEREZANI!!!.
Napita tuu.....
 
Kwa hiyo wewe hupendwi?
Acha mawazo ya kizinzi zinzi, mi nina wadogo zangu, primary na secondari, nawapenda sana na wananipenda, kwa nini niende gerezani?
 
^^
Sijui fimbo zilizuiwa kwa nini shuleni? Muda kama huu watoto wanatakiwa wawe busy na home work, sio kufikiri kupenda na kupendwa tu
^^
 
JF ni kisiwa cha burudani ukiamka asubuhi hadi muda kama huu hujacheka sijui
 
^^
Sijui fimbo zilizuiwa kwa nini shuleni? Muda kama huu watoto wanatakiwa wawe busy na home work, sio kufikiri kupenda na kupendwa tu
^^

enzi zetu unafungwa miguu na mikono unagongwa fimbo zaid ya hamsin lakin sku hiz mitoto inakuwa hamnazo kichwan wanawaza kuvuana vyupi tu...... Vp mzma lakin ww
 
enzi zetu unafungwa miguu na mikono unagongwa fimbo zaid ya hamsin lakin sku hiz mitoto inakuwa hamnazo kichwan wanawaza kuvuana vyupi tu...... Vp mzma lakin ww

^^
Mie mzima, hofu kwako MKUU !!!
Zamani ukileta ukorofi unafungiwa mpaka kutembea
:lock1:
^^
 
Kwa hiyo wewe hupendwi?
Acha mawazo ya kizinzi zinzi, mi nina wadogo zangu, primary na secondari, nawapenda sana na wananipenda, kwa nini niende gerezani?

we kaa ukijua una nyota ya GEREZANI
 
Kiroba hichi kilikuwa kimeisha muda wake tuoneshe alie kuuzia tumwarest...
 
na ukipendwa na akina dada wa aina gani utakuwa na nyota ya kaburini??
 
Mie wananipenda sana kwani TUITION langu la nguvu, asilimia 95 kila mwaka wanafaulu na kwenda Secondary.

Wananiita Midas Touch....


Ukiona unapendwa sana na Wanafunzi wa Kike wa shule za msingi na sekondari, ujue una Nyota ya KUISHI GEREZANI!!!.
Napita tuu.....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom