^^
Sijui fimbo zilizuiwa kwa nini shuleni? Muda kama huu watoto wanatakiwa wawe busy na home work, sio kufikiri kupenda na kupendwa tu
^^
enzi zetu unafungwa miguu na mikono unagongwa fimbo zaid ya hamsin lakin sku hiz mitoto inakuwa hamnazo kichwan wanawaza kuvuana vyupi tu...... Vp mzma lakin ww
Kwa hiyo wewe hupendwi?
Acha mawazo ya kizinzi zinzi, mi nina wadogo zangu, primary na secondari, nawapenda sana na wananipenda, kwa nini niende gerezani?
Kumbe kuna nyota za gerezani?
^^
Mie mzima, hofu kwako MKUU !!!
Zamani ukileta ukorofi unafungiwa mpaka kutembea
:lock1:
^^
Aisee JF haiishi vituko ukijiona una hamu ya kucheka ingia humu utakidhi haja yako lol.na ukipendwa na akina dada wa aina gani utakuwa na nyota ya kaburini??
Ukiona unapendwa sana na Wanafunzi wa Kike wa shule za msingi na sekondari, ujue una Nyota ya KUISHI GEREZANI!!!.
Napita tuu.....
Ukiona unapendwa sana na Wanafunzi wa Kike wa shule za msingi na sekondari, ujue una Nyota ya KUISHI GEREZANI!!!.
Napita tuu.....