kabanga
Platinum Member
- Dec 12, 2011
- 37,649
- 19,042
Inapendeza....!Fahari yetu !
Inapendeza....!Fahari yetu !
Mwajuma uyo.....akishaupara anajiita mwa-jei
[emoji23] [emoji23] [emoji23] vipi iki kipindi cha mvua,hali ikoje uko?Kuna njemba upanda nuu ya minazi ili ipige chabo
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Na ukiwa na flat screen kubwa ni ishu watoto wa jirani/wapangaji wenzako watajazana kucheki katuni kila siku halafu bili ya umeme mnalipa sawa !!Uswahilini hakuna Msongo wa Mawazo kama kwa kina Kitilya! Ukisikia Takukuru imecharuka haikuhusu, ukisikia safari za nje zimezuiwa hujali, ukisikia tumbua majipu unacheka tu, kushinda na njaa sio habari, habari ni kufululiza kula mara tatu kwa siku kwa wiki nzima lazima wakuseme unajidai Tajiri.
Na ukiwa na flat screen kubwa ni ishu watoto wa jirani/wapangaji wenzako watajazana kucheki katuni kila siku halafu bili ya umeme mnalipa sawa !!
Uswaz noma sana....halafu umenikumbusha pua kubwa LA Mama Mjuba na sura take ya mnuno.....ilibamba sanaUkiwa fedhuli Majipu unatumbulia humo humo!
Nakumbuka wakati wa Mchezo wa Tausi ITV miaka kama 15 iliyopita kuna Mpangaji mwenzangu alikuwa Mkewe analiwa wakti jamaa yupo sitting room ya jirani tumbo wazi anajipepea huku anawatizama akina Mama mjuba na Mzee Kasri Mkewe alikuwa anainamishwa na Mshkaji wa Nyumba ya jirani aliekuwa anajileta kuchota maji wakati wa Mchezo ,Mke akisikia hivyo lazima akajiosheshe vyombo jamaa anamsogeza kwny Jiko la Uani anamsukumia Propela shafti.
Uswaz noma sana....halafu umenikumbusha pua kubwa LA Mama Mjuba na sura take ya mnuno.....ilibamba sana
Siku hizi "ujirani mwema" umepungua kidogo coz laifu linabana sana na ukimruhusu binti alale kwa jirani jiandae kuletewa "fenesi" baada ya muda na kesi zenyewe zinamalizwa kishikaji tuNa usilogwe kukatoa kabinti kako kigoli kulala nyumba ya jirani kwani kwako unachumba kimoja tu na binti amekua, kule watoto wa jirani wanapiga dili na muuza chips wanaletewa chips usiku jamaa akifunga biashara malipo ni binti yako.