Kuzungusha kupiga game

wakumbuli

Senior Member
Aug 20, 2009
147
4
Hivi kuna umuhimu gani kwa wadada kuzungusha kupiga game mara baada ya kutongozwa wakati wote ni (USED) yaani wote mlishawahi kufanya mapenzi.
 
Hivi kuna umuhimu gani kwa wadada kuzungusha kupiga game mara baada ya kutongozwa wakati wote ni (USED) yaani wote mlishawahi kufanya mapenzi.
kwa vile wakwako ulimkuta used,unajustfy kwamba wote ni used!....wewe huwa unafanya mapenzi na wahudumu wa bar?
 
Hivi kuna umuhimu gani kwa wadada kuzungusha kupiga game mara baada ya kutongozwa wakati wote ni (USED) yaani wote mlishawahi kufanya mapenzi.
That is a fallacy! and a sin!
Yaani wewe thamani ya msichana kwako ni ngono tu??!
Badilisha hiyo tabia...

kwa vile wakwako ulimkuta used,unajustfy kwamba wote ni used!....wewe huwa unafanya mapenzi na wahudumu wa bar?
another fallacy..hasty generalization.

Kama unahamu sana ya kufanya ngono kuna rule moja tu:
OA!
Kama hamu imezidi sana na huwezi jizuia..
subiri..
..au..
fuata rule ya kwanza!
*OMBI:
Msitumalizie wake zetu watrajiwa. Kina dada mlioko huku tafadhali, watu kama Hawa wakwepeni kabisa!!!
Ohh my God, when will this end??!
 
God bless you COMPAQ - endelea kukemea maovu yanayofanywa hata kwa maneno ya mtu. Mara nyingi sana kitu kiujazacho moyo wa mwanadamu ndicho kimtokacho mdomoni mwke.
Imefika wakati moderators kuangalia issue za kujadili - Ngono itasaidia nini katika maisha ya mwanadamu?? Tendo la Ndoa ni kitu cha heshima sana kati ya mume na mke - wengine wanaona ndio maendeleo - bahati mbaya sana.
Tujadili zaidi jinsi ya kuwasaidia watu waepukane na hizi ngono zembe, unyanyasaji wa kijinsia na kuongelea vibaya wanawake - they are our mothers - sisters - anties - wives etc. - tusiwaone kama items/things/vessels - .... whatever .......
Nawasilisha!
 
Hivi kuna umuhimu gani kwa wadada kuzungusha kupiga game mara baada ya kutongozwa wakati wote ni (USED) yaani wote mlishawahi kufanya mapenzi.

Sijaelewa ati? na kwann nawe unatongoza usisubiri waje wenyewe?
 
m.mke sharti aringie mali yake babu weeeee! we unataka kirahisi rahisi tu? sharti ukisotee kwanza ndiyo ujue utamu wake.....
 
Hivi kuna umuhimu gani kwa wadada kuzungusha kupiga game mara baada ya kutongozwa wakati wote ni (USED) yaani wote mlishawahi kufanya mapenzi.

Wakumbuli,

Wewe pia ni USED? Maana matumizi ya neno "USED" sijaielewa vizuri! Kwenye dictionary yangu neno USED ni hii hapa:abused, exploited, took unfair advantage of.
 
Mzee wa kupiga game naomba nikuase achana na hiyo dhana na hiyo tabia pia! Jiulize since you started playing umejaza mapipa mangapi ya maji ya uzima? ukiona haifiki hata nusu lita basi ujue hio sio dili kabisaa! hailipi!
 
naogopa ban tu......vinginevyo I would have said something you n u would have regreted putting your no sense thread hapo!!!
ooh yeah am a gender activist.......dayyyyyyyyyyyyyym you!!!
 
Back
Top Bottom