Kuzuiliwa mshahara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuzuiliwa mshahara

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by JamboJema, Jan 20, 2012.

 1. JamboJema

  JamboJema JF-Expert Member

  #1
  Jan 20, 2012
  Joined: Jun 14, 2011
  Messages: 1,148
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Nimeiona hali ya kuzuia mshahara ikiwakumba hasa waalimu wa shule za msingi kwa visingizio mbalimbali kama kutokuandaa azimio au andalio la kazi. Mwalimu Mkuu hutaarifu nia ya kuzuia mshahara wa mwalimu husika na DEO hufanya huo uzuiaji kwa support ya DED kupitia Afisa Utumishi wa Halmashauri husika.
  Naomba kujuzwa sheria inayoruhusu haki hii ya mtumishi kuchezewa namna hii. Expecting much enlightment from you GT's.
   
Loading...