Pilipili ya ungaKwa yeyote anayefahamu njia ya kuzuia panya kuingia kwenye engine ya Gari naomba msaada wake tafadhari, Nimeshatumia powder za aina zoote still bado huyo panya anaingia katika engine na kukata nyaya.
Dawa ni poda mzee nyunyiza poda kwenye injini panya akiwa anatembea ananusa so poda inampalia anakimbia hiyo ndio dawa its real workAisee
Changanya na pili pili ya kusagaNashukuru bt nimeweka saana still kila asubuh naona nyayo zao juu ya powder
Pole aiseeKuna panya alikufa kwenye cleaner ya Ac gari niliipaki kwa muda wkt nasubiri spare aisee nilipowasha Ac bila kujua lilikuja vumbi na manyoya ya panya aisee sitasahau


Weka tunguri, hao sio panya, ni watu wenye wivu na usafiri wako.Kwa yeyote anayefahamu njia ya kuzuia panya kuingia kwenye engine ya Gari naomba msaada wake tafadhari, Nimeshatumia powder za aina zoote still bado huyo panya anaingia katika engine na kukata nyaya.
Kuna panya alikufa kwenye cleaner ya Ac gari niliipaki kwa muda wkt nasubiri spare aisee nilipowasha Ac bila kujua lilikuja vumbi na manyoya ya panya aisee sitasahau
pole sanaGari ya kusubiri spea ni ya aina gani hiyo?Kuna panya alikufa kwenye cleaner ya Ac gari niliipaki kwa muda wkt nasubiri spare aisee nilipowasha Ac bila kujua lilikuja vumbi na manyoya ya panya aisee sitasahau