Kuzuia matangazo katika Browser

poposindege

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
453
175
Wadau habari zenu.
Ni kwamba natumia Browser ya Opera katika PC yangu.
Lakini mara kwa mara ninabonyeza ukurasa fulani, Mfano Nipo ukurasa wa jamiiForums, nikijaribu kufungua Thread fulani inafungua ukurasa mwingine kabisa
ambao unakuwa aidha una matangzao au kurasa nisiyoijua kabisa.
Au hufungua ukurasa mpya wa Page niliyoikusudia na kuacha ilie page ya awali ikijifungua ukurasa wa matangazo.

Jambo hilo linanikera sana hivyo naomba msaada wa kusitisha huo usumbufu.
Samahani kwa maelezo yangu kama yatakuwa hayajaeleweka
 
Hayo ni mambo ya Pop-up na Ad Blocking...siyajui kwa undani sana ila ngoja wataalamu waje
 
Katika browser yako. Nenda settings=> extention=>more extension kisha search ad-brocker=> chagua itayokufaa=>kisha install.
 
Wadau habari zenu.
Ni kwamba natumia Browser ya Opera katika PC yangu.
Lakini mara kwa mara ninabonyeza ukurasa fulani, Mfano Nipo ukurasa wa jamiiForums, nikijaribu kufungua Thread fulani inafungua ukurasa mwingine kabisa
ambao unakuwa aidha una matangzao au kurasa nisiyoijua kabisa.
Au hufungua ukurasa mpya wa Page niliyoikusudia na kuacha ilie page ya awali ikijifungua ukurasa wa matangazo.

Jambo hilo linanikera sana hivyo naomba msaada wa kusitisha huo usumbufu.
Samahani kwa maelezo yangu kama yatakuwa hayajaeleweka
Adblock Plus

Add hiyo addon kweny browser yako itablock adds zote
 
Back
Top Bottom