Kuzuia emails nisizozitaka kwenye inbox yangu

Kuzuia emails nisizozitaka kwenye inbox yangu

Laptop01

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2009
Posts
1,426
Reaction score
887
Hi the JF FAMILY.
Napata emails nyingi nisizozitaka kwenye inbox yangu, mathalani emails kutoka tradecarview sasa nataka kuzuia emails hizo zisije unless nimefanya mawasiliano nao na wanatakiwa kunijibu. NIFANYEJE KU-BLOCK EMAILS HIZO?
 
Tradecarview utakuwa umejiandikisha, tafuta link ya Unsubscribe kwenye hizo email na bonyeza. Kama haujajiandikisha basi bonyeza button ya Spam kwenye email yako.
 
Hi the JF FAMILY.
Napata emails nyingi nisizozitaka kwenye inbox yangu, mathalani emails kutoka tradecarview sasa nataka kuzuia emails hizo zisije unless nimefanya mawasiliano nao na wanatakiwa kunijibu. NIFANYEJE KU-BLOCK EMAILS HIZO?

Naamini kuwa unatumia hotmail, yahoo au gmail. Hizo za tradecarview utakuwa unazipata kwa kuwa umeiruhusu kampuni hiyo ikutumie emails (yaani ume-subscribe). Jaribu ku-unsubscribe. Kuhusu emails nyingine usizozitaka unachotakiwa kufanya ni kuzitambulisha (kuzi-mark) kama 'junk' na barua pepe zote zitakazotoka katika anuani hizo ama zitazuiwa (blocked) au zitaingia katika junk folder badala ya inbox.
 
Back
Top Bottom