Boko halal
Senior Member
- May 14, 2014
- 167
- 119
Chuo kikuu kishiriki cha Askofu Mihayo (SAUT TABORA) kimelimwa barua ya onyo toka kwa ofsi ya mkuu wa mkoa wa Tabora kwa kile kinachodaiwa kuwaruhusu wanachuo wake kufanya siasa vyuoni hadi kupelekea kuzomewa mbunge wa Tabora mjini mh. Ismail Aden Rage kwenye mdahalo wa uliofanyika chuoni hapo wiki tatu zilizopita.
Aidha sehemu ya barua imewataka wanachuo kuacha mara moja tabia ya kuwazomea viongozi wa chama na serikali.
NB; kuzomewa mwanasiasa imekuwa nongwa mbona hata Zuma alizomewa msiba wa Mandela, kwanza Rage alijiponza mwenyewe kwa kusema hakujawahi kuepo nchi ya Tanganyika hali iliyopelekea kuzomewa.
CCM acheni kuwaonea wanachuo.