Kuzomewa Rage (AMUCTA) chuo chapewa onyo

images
I guess wanachuo walikuwa wastaarabu sana ... https://www.google.co.tz/search?q=r...ma-dodoma%26catid%3D82%26Itemid%3D468;640;427

Taqubiiiiiiiiiiiiir! (samahani naongea na muumin hapo mbele)
 
Hapo angezomewa mbunge wa upinzani, mkuu wa mkoa angetoa barua ya pongezi kwa mkuu wa chuo! Tatizo la taifa letu ni double standard kwa mambo ya kutuletea mshikamano wetu bila kujali vyama,dini au kabila! Hao wakuu wa mikoa wako sided na ni makada waaminifu wa ccm! Ukiwa kiongozi wa ccm hata ukiongea pumba ni sawa tu!
 
Ni mkuu wa mkoa yupi, Fatuma Mwassa? Yule 'mhandisi' wa habari aliyekuwa Majira hawezi hata kuandika para moja. Yule aliyekuwa msaidizi wa Mama Salma? Yule ambaye baadaye tulistukia Mkuu wa Mkoa akitokea wilayani Mvomero? Lakini la kujiuliza huyo Mwassa alifikafikaje Ikulu? Kweli hii ni Afrika! Nidiyo maana hajui hata mipaka ya kazi yake. Mwanasiasa, tena mbunge azomewe, halafu mkuu wa mkoa aonye wanaomuzomea? Ajabu!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom