Kuzomewa Rage (AMUCTA) chuo chapewa onyo

Boko halal

Senior Member
May 14, 2014
167
119
Chuo kikuu kishiriki cha Askofu Mihayo (SAUT TABORA) kimelimwa barua ya onyo toka kwa ofsi ya mkuu wa mkoa wa Tabora kwa kile kinachodaiwa kuwaruhusu wanachuo wake kufanya siasa vyuoni hadi kupelekea kuzomewa mbunge wa Tabora mjini mh. Ismail Aden Rage kwenye mdahalo wa uliofanyika chuoni hapo wiki tatu zilizopita.

Aidha sehemu ya barua imewataka wanachuo kuacha mara moja tabia ya kuwazomea viongozi wa chama na serikali.

NB; kuzomewa mwanasiasa imekuwa nongwa mbona hata Zuma alizomewa msiba wa Mandela, kwanza Rage alijiponza mwenyewe kwa kusema hakujawahi kuepo nchi ya Tanganyika hali iliyopelekea kuzomewa.

CCM acheni kuwaonea wanachuo.
 
Katika hili la tanganyika wamzomee tu haiwezekani tunakuwa na viongozi wanaopinga historia yetu wazomee tu tena na huku Jf namzomea hiloooooooooo......!!!
 
Chuo kikuu kishiriki cha Askofu Mihayo (SAUT TABORA) kimelimwa barua ya onyo toka kwa ofsi ya mkuu wa mkoa wa Tabora kwa kile kinachodaiwa kuwaruhusu wanachuo wake kufanya siasa vyuoni hadi kupelekea kuzomewa mbunge wa Tabora mjini mh. Ismail Aden Rage kwenye mdahalo wa uliofanyika chuoni hapo wiki tatu zilizopita aidha sehemu ya barua imewataka wanachuo kuacha mara moja tabia ya kuwazomea viongozi wa chama na serikali
NB; kuzomewa mwanasiasa imekuwa nongwa mbona hata Zuma alizomewa msiba wa Mandela, kwanza Rage alijiponza mwenyewe kwa kusema hakujawahi kuepo nchi ya Tanganyika hali iliyopelekea kuzomewa Ccm acheni kuwaonea wanachuo.

Huyo mkuu wa mkoa nae Hana akili, atawazui vipi wanafunzi kufanya Siasa kwani Rage alienda kuhubili injili pale.?

Wanataka waongee ugoro halafu wapigiwe makofi.?
 
images
I guess wanachuo walikuwa wastaarabu sana ... https://www.google.co.tz/search?q=r...ma-dodoma%26catid%3D82%26Itemid%3D468;640;427
 
havard wanazomewa sembuse saut tabora! ukipeleka kenge katika banda la mbwa unategemea nini kama sio kubwekewa!
 
Chuo kikuu kishiriki cha Askofu Mihayo (SAUT TABORA) kimelimwa barua ya onyo toka kwa ofsi ya mkuu wa mkoa wa Tabora kwa kile kinachodaiwa kuwaruhusu wanachuo wake kufanya siasa vyuoni hadi kupelekea kuzomewa mbunge wa Tabora mjini mh. Ismail Aden Rage kwenye mdahalo wa uliofanyika chuoni hapo wiki tatu zilizopita aidha sehemu ya barua imewataka wanachuo kuacha mara moja tabia ya kuwazomea viongozi wa chama na serikali
NB; kuzomewa mwanasiasa imekuwa nongwa mbona hata Zuma alizomewa msiba wa Mandela, kwanza Rage alijiponza mwenyewe kwa kusema hakujawahi kuepo nchi ya Tanganyika hali iliyopelekea kuzomewa Ccm acheni kuwaonea wanachuo.

Haisaidii sana.

Kwanza wanachuo tajwa siyo watoto labda tuseme wa sekondari hivi, kwamba hawajua wanafanya nini.

Pili, ni upofu na ufupi wa fikra kudhania kwa kuwa ni wanachuo basi serikali au chama kina haki ya kuwaamulia cha kuamini na kufuata.

Tatu, ni wagonjwa wa akili tu wanaoweza kudhani kuwa siasa zinakuwa halali vyuoni, kama tu wanachuo watakuwa wanakubaliana na CCM.

Ukweli ni kuwa, kilichofanyika ni kuonyesha ushamba wa kisiasa, kwa kulalamikia mbunge kuzomewa, badala ya kumshangaa mbunge aliyekwenda kuongea na wasomi bila kufanya research. Walau wangekuwa wa maana kama wangefanya huo upuuzi wa kulazimisha mawazo bungeni na kwa wananchi, siyo vyuoni. Vyuoni kile kizazi cha kuandika thesis na kuigeuka baadaye hakipo.

Otherwise ni ujinga au ujuha, kwenda kufanya siasa chuoni, halafu baada ya kuzomewa kwa kuongea visivokubalika, utoe onyo la wanafunzi kutofanya siasa. Huu upofu mwingine ni kujidhalilisha!
 
Ooyooo hii ni Dawa safi sana na tuko pamoja na wanafunzi na pale wanapo ona kizimkuti cha kiongozi wao basi hii Dawa tosha kabisa na la mwisho ni nahau katoa mita kaweka Luku muda wote huo
 
Maendeleo hatuna,maisha bora hatuna,elimu bora hatuna,matibabu bora yapo kwawakubwa wa power nchini,na tanganyika yetu nayo tuikose?
Zeomeeni hayo matoto na majukuu ya mafisadi ya c.c.yeum.
 
Mada za watoto wa sekondari ngoja tuwaachie watoto wenyewe na wenzao.

utakuwa unawashwa wewe,acha wazomewe tu hao mizigo wasiojitambua! Hivi alikuwa anataka kumpotosha nani kuwa hakujawahi kuwa na taifa la Tanganyika? Huo upuuzi wake aupeleke kwa misukule wenzie hapo lumumba fc!
 
Haisaidii sana.

Kwanza wanachuo tajwa siyo watoto labda tuseme wa sekondari hivi, kwamba hawajua wanafanya nini.

Pili, ni upofu na ufupi wa fikra kudhania kwa kuwa ni wanachuo basi serikali au chama kina haki ya kuwaamulia cha kuamini na kufuata.

Tatu, ni wagonjwa wa akili tu wanaoweza kudhani kuwa siasa zinakuwa halali vyuoni, kama tu wanachuo watakuwa wanakubaliana na CCM.

Ukweli ni kuwa, kilichofanyika ni kuonyesha ushamba wa kisiasa, kwa kulalamikia mbunge kuzomewa, badala ya kumshangaa mbunge aliyekwenda kuongea na wasomi bila kufanya research. Walau wangekuwa wa maana kama wangefanya huo upuuzi wa kulazimisha mawazo bungeni na kwa wananchi, siyo vyuoni. Vyuoni kile kizazi cha kuandika thesis na kuigeuka baadaye hakipo.

Otherwise ni ujinga au ujuha, kwenda kufanya siasa chuoni, halafu baada ya kuzomewa kwa kuongea visivokubalika, utoe onyo la wanafunzi kutofanya siasa. Huu upofu mwingine ni kujidhalilisha!

I salute you big man
 
Mada za watoto wa sekondari ngoja tuwaachie watoto wenyewe na wenzao.

Ha ha nenda jukwaa la wakubwa katazame picha za ngono,tuache watoto na hawa wapuuzi wa CCM.
Ukuu wa mkoa,ukuu wa wilaya ni miongoni mwa ya kijinga aliyoyaacha Mwalimu Nyerere. Na yeye alikiri kufanya ya kijinga na mema.
 
hata mimi kama hataki Tanganyika yangu naongezea kulizomea wooooooooooooooooooooo!, hilooooooooooooooooo!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom