Wadau wa JF, mimi binafsi nimepigwa na bumbuwazi baada ya kusikia watu wamezirai eti kisa ni kujiuzulu kwa Mh.Rostam Aziz,hebu naombeni mnisaidie hii maana yake nini???Najua Igunga kuna wana JF itakuwa vyema mkitupa ukweli wa mambo kuhusu taarifa hizi za kuzirai kama zina ukweli wowote au la!!
ukweli unabaki palepale kuwa kuna baath ya maeneo na baath ya mikoa ipo nyuma cna kimaendeleo na fikra na elimu chni,watu wapo kwenye deserted area,pamekauka wana njaa ila bdo hawatoi changamoto,wana macho ila hawaoni,nawapa changamoto vijana mlotoka huku igunga,dom,tanga, na pote penye fikra ndogo tokana na elimu duni rudini mkawakomboe wenzenu 2pate taifa jipya la mtanzania c hli la mkolon na mwenyeji
Afilisiwe kwa kosa lipi? Muulize Nyerere yaliyomkuta alipomtaifisha Tiny Rowlands, alijuta kuzaliwa. Ilibidi arudishe mali za Tiny na toka siku hiyo hakutaifisha tena. Msisikie tu, kufilisi, unafanya mchezo? Kuna watu huwa hawachezewi.kujivua gamba pekeyake haitoshi!!ilibidi rostam akamatwe na afilisiwe ili iwe fundisho kwa wengine,coz wakimuacha ivivi itakuwa kama mchezo watu watakua wanaiba mali ya umma then wanajivua gamba,jamani huyu rostam kahujumu uchumi wetu anapaswa kuadhibiwa
Kwa kuongezea tu, na pwani. Na Dar ilikuwa iwe kati ya hiyo uliyoitaja lakini location yake tu ndio iliistiri lakini njama zilishafanywa kuihamisha "capital" kwenda Dodoma. Sababu za hiyo mikoa kuwa nyuma zinajulikana sana na mwenye macho haambiwi tazama, mwenye masikio haambiwi sikia.Tabora, Tanga, Mtwara, Songea,
Wadau wa JF, mimi binafsi nimepigwa na bumbuwazi baada ya kusikia watu wamezirai eti kisa ni kujiuzulu kwa Mh.Rostam Aziz,hebu naombeni mnisaidie hii maana yake nini???Najua Igunga kuna wana JF itakuwa vyema mkitupa ukweli wa mambo kuhusu taarifa hizi za kuzirai kama zina ukweli wowote au la!!
Wadau wa JF, mimi binafsi nimepigwa na bumbuwazi baada ya kusikia watu wamezirai eti kisa ni kujiuzulu kwa Mh.Rostam Aziz,hebu naombeni mnisaidie hii maana yake nini???Najua Igunga kuna wana JF itakuwa vyema mkitupa ukweli wa mambo kuhusu taarifa hizi za kuzirai kama zina ukweli wowote au la!!
Wadau wa JF, mimi binafsi nimepigwa na bumbuwazi baada ya kusikia watu wamezirai eti kisa ni kujiuzulu kwa Mh.Rostam Aziz,hebu naombeni mnisaidie hii maana yake nini???Najua Igunga kuna wana JF itakuwa vyema mkitupa ukweli wa mambo kuhusu taarifa hizi za kuzirai kama zina ukweli wowote au la!!
Sio ndefu kama unavyo fikiri, hata Igunga ikibaki na mawazo na muelekeo wa ki ccm ukombozi utapatikana tuila nimeshangaa kwa kweli!! inaonekana jinsi gani safari ilivyo ndefu kabla ya kufikia tunapopataka!
Katika Igunga kafanya makubwa mno kuliko mnavyodhani. Ndio maana watu wakazimia. Ni wilaya pekee ambayo kila kaya ina Bima ya Afya. Shule za Sekondari zimezidi hadi kata zenyewe. Zahanati nyingi kuliko vijiji. Anasomesha watoto kadhaa wa kimasikini Igunga, utaacha kuzimia?