PostGE2025 Kuzimwa kwa Internet kipindi cha Uchaguzi ni ukiukwaji wa haki za Binadamu na imesababisha hasara kubwa

PostGE2025 Kuzimwa kwa Internet kipindi cha Uchaguzi ni ukiukwaji wa haki za Binadamu na imesababisha hasara kubwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nyie si mnatuambiaga siku zote Serikali haina hasara..

Hii hasara uliyoitaja hapa umeipata wapi?..
Na hasara kama hii huwezi kukuta waandishi wa habari wa Tanzania au vyombo vya habari waliifanyia uchambuzi wao wako busy kucheza na script za Msigwa na kutuma ndege tupu kusafiri maelfu ya miles kufuata timu ya mpira.
 
Umeandika pumba nyingi maswali yangu ninayokuuliza hujibu.

Hii itakua reply yangu ya mwisho kwako.

Tazama hapa jinsi vyombo vya dola vilivyokabiliana na wafuasi wa Trump pale Capitol, ingekua ndio hizi akili za Muliro na Mafwele siku hiyo wangedocument maelfu ya vifo.


View: https://youtu.be/jWJVMoe7OY0?si=69gMmXgQci_wjFF5

Hao waliofanyia fujo hapa Tanzania wangeenda huko huko USA wakafanyie fujo ikiwa walitaka wachome mabasi ya watu, wakate watu vidole halafu eti waachwe tu waendelee kudunda mitaani kisa demokrasia!. Bull shit.

Hakuna haki maishani inayopatikana bila ya wajibu, bila ya kuheshimu haki za wengine. Vijana walifanya ule ujinga bila ya mwongozo wowote. Wakaleta uhuni wakakutana na mapolisi waliouishi uhuni kabla hata mama zao hao vijana hawajawazaa.

Vijana imebidi wajifunze kwa namna ngumu kwamba wapo wakubwa kuliko wao ambao wanawaongoza maishani mwao.
 
Back
Top Bottom