Kuzimu ni wapi?

Kuzimu ni wapi?

a sinner saved by Christ

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
2,204
Reaction score
2,411
Kuzimu ni chini ya ardhi sehemu mahali yenye maeneo mengi ni zaidi ya moja ,kuna eneo la kwanza mapokezi shiole mapkizi, ni kama mapokezi , kuna eneo la njia panda lenye njia mbili milango miwili

1)mlango geti wa giza unaokaliwa na majeshi ya mapepo wabaya..kuelekea vyumba vya kuzimu za mateso sehemu nyingine maeneo mengine mbali mbali ya mashimo ya mateso kuzimu kadiri ya dhambi zako(vyumba viko vingi refer ushuhuda wa astoni mbaya,kama tajiri aliyekuwa mchoyo kwa masikini lazaro) ama

2.mlango namba mbili wa njia ya moto uelekea njia ya moto..kwa ajili ya uchukuliwe na malaika wanaoulinda mlango huu kwa upanga kwenda mbinguni(kama masikini lazaro alichukuliwa na malaika akapelekea mbinguni)
l
Lk 16:19-31
Akasema, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, na kula sikuzote kwa anasa. Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni pake, ana vidonda vingi, naye alikuwa akitamani kushibishwa kwa makombo yaliyoanguka katika meza ya yule tajiri; hata mbwa wakaja wakamramba vidonda vyake.

KUZIMU
Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa. Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake. Akalia, akasema, Ee baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu. Ibrahimu akasema, Mwanangu, kumbuka ya kwamba wewe uliyapokea mambo mema yako katika maisha yako, na Lazaro vivyo alipata mabaya; na sasa yeye yupo hapa anafarijiwa, na wewe unaumizwa. Na zaidi ya hayo, kati yetu sisi na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wale watakao kutoka huku kwenda kwenu wasiweze; wala watu wa kwenu wasivuke kuja kwetu. Akasema, Basi, baba, nakuomba, umtume nyumbani kwa baba yangu, kwa kuwa ninao ndugu watano, ili awashuhudie, wasije wao pia wakafika mahali hapa pa mateso. Ibrahimu akasema, Wanao Musa na manabii; na wawasikilize wao. Akasema, La, baba Ibrahimu, lakini kama akiwaendea mtu atokaye kwa wafu, watatubu. Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishwa hata mtu akifufuka katika wafu.

Baada ya mtu kufa tu dakika hiyo hiyo anashuka kuzimu anafikia njia panda

yenye mageti mawili ,kama alikufa katika dhambi kama (tajiri) anapokelewa na jeshi la pepo wabaya wanampitisha njia ya giza kwenye vyumba vya kuzimu ya mateso kadiri ya dhambi zake kwenda kumtesa.

kama alikufa akiwa mtakatifu..anapitia njia ya moto anapokelewa na malaika kumpeleka mbinguni(kama masikini lazaro)akapumzike na kufurahi na watakatifu.


JEHANAMU
ni ziwa liwakalo moto na kiberiti na funza wasioungua na moto amabao wanakula nyama za wenye dhambi.
hii jehanamu iliandaliwa kwa ajili ya shetani na malaika zake ,na binadamu wenye dhambi..

ambayo hii jehanamu ya moto bado haina watu inasubiri siku ya hukumu watatupwa wenye dhambi wote halafu malaika waasi wote mapepo na mwisho shetani naye atamalizia kuingia baada ya kuhakikisha watu wake wote wameingia naye ataingia humo.

kuzimu itawaachilia wafu wake ili wahukumiwe baada ya hukumu ndio watatupwa JEHANAMU YA MOTO BAADA YA SIKU YA HUKUMU.

hapo mapokezi ya kuzimu ni eneo ambalo ,hata binadamu walio hai huwa wanaweza kwenda kwa nguvu za giza na kurudi.

mfano wafuasi wa nguvu za giza na mawakala wa shetani,na hata watu wanaohitaji msaada wa nguvu za giza ,huenda hapo mapokezi ya kuzimu kuomba msaada wa nguvu za giza,mafanikio ,umaarufu wa kisiasa,uchawi,uganga wa kienyeji,utajiri na mafanikio ,wasanii ,wanasiasa,wanamuziki,waigizaji,freemansory,n.k..hata baadhi ya mitume na manabii wa uongo..sio ajabu hata baadhi ya vitu vya upako vinatoka huko,na wanaotafuta umaarufu n.k
 
Kuzimu ni hapa hapa Duniani mkuu, na Peponi ni hapa hapa Duniani pia.
Maana yake Kuna watu raha za peponi wanakula hapa hapa Duniani, na Kuna watu mateso wanayopitia hapa Duniani ni zaidi ya Jehanam
 
Choose your language

Lk 16:19-31

Akasema, Palikuwa na mtu mmoja, tajiri, aliyevaa nguo za rangi ya zambarau na kitani safi, na kula sikuzote kwa anasa. Na maskini mmoja, jina lake Lazaro, huwekwa mlangoni pake, ana vidonda vingi, naye alikuwa akitamani kushibishwa kwa makombo yaliyoanguka katika meza ya yule tajiri; hata mbwa wakaja wakamramba vidonda vyake. Ikawa yule maskini alikufa, akachukuliwa na malaika mpaka kifuani kwa Ibrahimu. Yule tajiri naye akafa, akazikwa. Basi, kule kuzimu aliyainua macho yake, alipokuwa katika mateso, akamwona Ibrahimu kwa mbali, na Lazaro kifuani mwake. Akalia, akasema, Ee baba Ibrahimu, nihurumie, umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake majini, auburudishe ulimi wangu; kwa sababu ninateswa katika moto huu. Ibrahimu akasema, Mwanangu, kumbuka ya kwamba wewe uliyapokea mambo mema yako katika maisha yako, na Lazaro vivyo alipata mabaya; na sasa yeye yupo hapa anafarijiwa, na wewe unaumizwa. Na zaidi ya hayo, kati yetu sisi na ninyi kumewekwa shimo kubwa, ili wale watakao kutoka huku kwenda kwenu wasiweze; wala watu wa kwenu wasivuke kuja kwetu. Akasema, Basi, baba, nakuomba, umtume nyumbani kwa baba yangu, kwa kuwa ninao ndugu watano, ili awashuhudie, wasije wao pia wakafika mahali hapa pa mateso. Ibrahimu akasema, Wanao Musa na manabii; na wawasikilize wao. Akasema, La, baba Ibrahimu, lakini kama akiwaendea mtu atokaye kwa wafu, watatubu. Akamwambia, Wasipowasikia Musa na manabii, hawatashawishwa hata mtu akifufuka katika wafu.
 
Hivi kuzimu na kuzimia hakuna mahusiano?
kuzimia ni mnyumbuliko/mnyambuo kutoka mzizi wa neno ni zima(put it off kinyume cha on washa kuwa alert kuwa on)

ukiambiwa utunge sentensinya kiswahi kwa kutumia mzizi wa neno zima.

1).chawa mwandamizi aliji zima data pale alipokuwa anatetea uovu.
 
baadhi ya watu wanayatumia haya maneno mawili interchangably kama synonimus kumaanisha kitu kimoja KUZIMU YA MATESO na JEHANAMU

1)hatma ya wenye dhambi wote mara tu baada ya kufa..dakikka hiyo hiyo..roho zao zinaenda KUZIMU YA MATESO...wanaenda kuteswa na mapepo.(immediate action) mpaka sasa kuzimunina watu waliokifa katika dhambi wanateseka huko.

2)JEHANAMU ni hatma ya wote wenye dhambi baada ya siku ya hukumu ya Mungu after judgement day...ambapo hapa watatupwa wenye dhambi wote kutoka kuzimu pamoja na mapepo na shetani mwenyewe baba yao.(future baadae ,mpaka sasa jehanamu ya moto haina watu ,ina moto mkali sana na funza wenye njaa kali sana wanaosubiri chakula chao kije)


ni sawa na vile baadhi ya watu wanachanga UNYAKUO na kurudi kwa Yesu mara ya pili kwa ajili ya hukumu.(ni baadhi ya matukio yanayowachanganya baadhi ya watu)
 
Back
Top Bottom