Kuzimiwa simu...

huyo muhusika unauhakika ujumbe umemfikia??
 
Ni ujinga tu kuna mwanamama mmoja tulikubaliana vizur kila nikimchek Mara natengeneza kucha baadae akawa hapokei nikasema utalipia tu kuna kipindi alikuwa na shida na Mimi ndio nilikuwa mtatuzi wa hiyo shida nilifanya vilele kama alivyofanya yeye week nzima anapiga na kutuma text siku niliyokuja kumjibu nilimuuliza tu unajisikiaje mtu mlioweka makubaliano kutokupokea simu yako na text eti inauma na kukera sana maana anakuwa kama amekudharau mpaka Leo mawasiliano yamekatika

Sent using Jamii Forums mobile app
 

kama ni wadada zaidi ya wawili wamekufanyia hivyo basi jitathimini, wewe ndio una tatizo.

Haiwezekani kila demu akuone black mamba
 
Hasa akigundua unampenda ndipo wanazidisha mateso, mfinye halafu fanya maringo ajue unampenda 30%
Hiyo habari ya kuzima simu utanipa habari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama amekuzimia simu,tafuta asiyekuzimia simu ndivyo maisha yalivyo.Mwingine anakukataa mwingine anakukubali na kukunyenyekea.
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
MKUU,

WANAUME WA MIKOA MAALUM KAMA VILE KIGOMA NA RUKWA TUNARUHUSIWA KUTOA POVU LETU HAPA?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MIMI SILIPIZI KWA UBAYA...ILA NAMFUNZA MTU...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…