AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
- Thread starter
-
- #41
Me na mapenzi ndo yanaishia hapo..tatizo wanawake wengi hususan under25 huwa naizo tabia zinakera sana yani sometime mtu ushalipia guest ushapiga MOFIRE zako unapiga simu haipatikan hatari!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo anastahili...me nkikataliwa...yaani hutoona ht kucha yangu...ila utajutia sana tu...kuikosa nafasi adhim...Wengine hata mkikataliwa mpo tu...😀
Wacha bnaaaHiyo anastahili...me nkikataliwa...yaani hutoona ht kucha yangu...ila utajutia sana tu...kuikosa nafasi adhim...
Sent using Jamii Forums mobile app
Et cetera...
Achana nao washamba hao,..😎😎Sio nina jazba...ila kuna wakati mpaka naishia kucheka tu...mtu sio mpenzi wako...unashangaa tu ghafla hapokei simu hajibu msgz kama mwanzo...unajiuliza huyu si angesema tu sitaki unitafute...sasa chek anavyoishi kwa shida akijificha ficha...
Sent using Jamii Forums mobile app
😁😁😁😁😁😁umesha kunywa viagra halafu unazimiwa simu...
Mkuu ulibugia unga wa Kongo nini halafu mtoto akapoteaMkuu hakuna kitu kinakera kama mmekubaliana jambo halafu unafika wakati mlengwa amezima au hapokei Simu. Sio kwenye mahusiano tu hata katika biashara na mambo mengine ya kijamii
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji1490][emoji1490][emoji1490]Na hii ipo hata kwa baadhi ya wanaume...my friend ni bora useme siwezi haiwezekani au sitaki kuliko kutopokea simu au kuzima unapohitajika...
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaonaje ukigusia wajibu pia? ,Mkuu umefanya mlinganyo wa vitu viwili tafauti kabisa, mwili na kujipaka Kimba,Na simu ya mkononi na maamuzi ya kuiweka hewani na kupokea ama kutopokea si vitu unavyoweza kuvilinganisha.Ni sawa na kufanya comparison kati ya Gari na ndizi mbivu.ni bora hata ungelinisha simu ya mkononi na chupi,mana vyote ni vitu personal na mmiliki wa chupi anayohaki ya kuivaa ama kutoivaa,kumvulia mtu ama kutomvulia etc.
Na pia nlichofanya ni kufahamisha juu ya haki za mwenye simu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na unayemtafuta. Kama unafuatilia pesa ya tenda, utamtafuta tu mhusika.Nilishasema, Nakupigia simu hupokei, nakutext hujibu mara Tatu. Nafuta namba yako na usije ukategemea nitakitafuta Maisha yako yote na hata tukikutana Njiani usinisalimie.
Mbona mimi hupokei simu yangu lakini chautundu?Achana nao washamba hao,..😎😎
.....Cheap babies ndo wana Papuchi Tamu .....alafu mafundi kitandani.Punguza jazba basii mzee baba...hao cheap labours ndivyo walivyo,. mwanamke makini hamsumbui mtu anakupa makavu live,.anaachana na ww kiroho safi,.hakuna haja yakupotezeana muda.
Au Hapokei simuMkuu hakuna kitu kinakera kama mmekubaliana jambo halafu unafika wakati mlengwa amezima au hapokei Simu. Sio kwenye mahusiano tu hata katika biashara na mambo mengine ya kijamii
Sent using Jamii Forums mobile app
UjingaKwanza tuweke rekodi sawa,kama mtu alinunua simu kwa pesa yake,akaenda kusajili laini na akaiwekea vocha basi anayo haki ya kuizima na kuiwasha anapojiskia,na anahaki ya kupokea ama kutopokea simu yoyote anayopigiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
TerueMkuu umefanya mlinganyo wa vitu viwili tafauti kabisa, mwili na kujipaka Kimba,Na simu ya mkononi na maamuzi ya kuiweka hewani na kupokea ama kutopokea si vitu unavyoweza kuvilinganisha.Ni sawa na kufanya comparison kati ya Gari na ndizi mbivu.ni bora hata ungelinisha simu ya mkononi na chupi,mana vyote ni vitu personal na mmiliki wa chupi anayohaki ya kuivaa ama kutoivaa,kumvulia mtu ama kutomvulia etc.
Na pia nlichofanya ni kufahamisha juu ya haki za mwenye simu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bora aiseee! Maana naona unachopinga hakielewekiNgoja nikavute bangi kwanza kisha nitarudi.hii itakuwa arosto sio bure.
Sent using Jamii Forums mobile app