Kwani mimi nimesemaje mkuu na mtoa mada kasemajeMkuu tuelewane kwanza mimi sijatetea tabia ya kuzima simu au kutopokea simu sababu hata mimi pia inanikera,mie nimesema tu ni haki ya mmiliki wa simu kupokea ama kutopokea na kuzima ama kutozima simu yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nikavute bangi kwanza kisha nitarudi.hii itakuwa arosto sio bure.
Yap.lengo si kumpangia bali kuelimisha kutimiza wajibu.Kwanza tuweke rekodi sawa,kama mtu alinunua simu kwa pesa yake,akaenda kusajili laini na akaiwekea vocha basi anayo haki ya kuizima na kuiwasha anapojiskia,na anahaki ya kupokea ama kutopokea simu yoyote anayopigiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wee nitakupiga mistar, unipe hayo makavu laivu.Punguza jazba basii mzee baba...hao cheap labours ndivyo walivyo,. mwanamke makini hamsumbui mtu anakupa makavu live,.anaachana na ww kiroho safi,.hakuna haja yakupotezeana muda.
Sio nina jazba...ila kuna wakati mpaka naishia kucheka tu...mtu sio mpenzi wako...unashangaa tu ghafla hapokei simu hajibu msgz kama mwanzo...unajiuliza huyu si angesema tu sitaki unitafute...sasa chek anavyoishi kwa shida akijificha ficha...Punguza jazba basii mzee baba...hao cheap labours ndivyo walivyo,. mwanamke makini hamsumbui mtu anakupa makavu live,.anaachana na ww kiroho safi,.hakuna haja yakupotezeana muda.
NI BORA TU USEME HUTAKI AU HAIWEZEKANI...NIJUE MOJA...Mkuu hakuna kitu kinakera kama mmekubaliana jambo halafu unafika wakati mlengwa amezima au hapokei Simu. Sio kwenye mahusiano tu hata katika biashara na mambo mengine ya kijamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Na hii ipo hata kwa baadhi ya wanaume...my friend ni bora useme siwezi haiwezekani au sitaki kuliko kutopokea simu au kuzima unapohitajika...Hakuna njia nzuri zaidi ya kuwa muwazi mkuu, at all odds kuzimiana simu ni weakest point kabisa. Kuna watu wanakera kweli kweli ila naamini ukisimamia unachokiamini hutotikiswa kamwe.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na mimi akinitafuta sipokei tena...sababu za kipumbavu kabisa...INA MAANA SIMU UNAWEKA KWENYE MKOBA AU CHAJI INA MAANA HUJUI KUWA ULIWEKA MIADI NA MTU...WEWE UNAKALISHA MATAKO YAKO TU HAPO...Inakera sana mkuu mfano we ni mfanyabiashara ( haya maduka yetu ya mkononi) mtu anakuagiza njoo muda fulani saa kumi niletee bidhaa ukishuka mwenge nipigie, mwenyewe unajibeba mpaka mwenge unafika piga piga na wewe mtu hapokei unakaa saa nzima unaamua kurudi zako mbagala baadae anakutafuta eti samahani simu ilikuwa kwenye mkoba sikusikia inaita unatamani umporomoshee mitusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie mtu sitaki unitafute...akikusumbua baada ya hapo huyo kataka mwenywwe....HUO NI UTOTO...Kwanza tuweke rekodi sawa,kama mtu alinunua simu kwa pesa yake,akaenda kusajili laini na akaiwekea vocha basi anayo haki ya kuizima na kuiwasha anapojiskia,na anahaki ya kupokea ama kutopokea simu yoyote anayopigiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
MIMI NIAMBIE TU UKWELI...OTHERWISE NIKIKUKAMATA...Basi tu mwingine alikuwa anatest zali akiona namna gani vipi anakuzimia simu kabisa! Kwenye sehemu ya biashara tunaweza kuichukulia kama easy go ila inaboa kishenzi aisee.... Mimi bora mtu anitukane kulikoni kuzimiwa simu au kutopokea smu yangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
HIYO LABDA NDIO SABABU...Hapana Wanakasumba Moja .. SITAKI NATAKA...
R!'^/_:Rr[b.+f}[8D?|
Mtu kama huyo aliyejifanya eti simu ni ya kwake...ndio wana tabia kama hizo...Aisee tuseme kwa sababu mtu mwili ni wa kwake ana haki ya kujipaka ma.vi akapanda daladala akaenda hadi ofisini
Sent using Jamii Forums mobile app
UNAPOTEZA UAMINIFU TU...Mtu mwingine anaweza kuwa labda kwa wakati huo hana hela labda kama alivyotegemea sasa badala ya kusema ukweli anaona solution ni kuzima simu
Sent using Jamii Forums mobile app
Usingetoa namba yako kwa watu mpuuzi mkubwa wewe...Mkuu umefanya mlinganyo wa vitu viwili tafauti kabisa, mwili na kujipaka Kimba,Na simu ya mkononi na maamuzi ya kuiweka hewani na kupokea ama kutopokea si vitu unavyoweza kuvilinganisha.Ni sawa na kufanya comparison kati ya Gari na ndizi mbivu.ni bora hata ungelinisha simu ya mkononi na chupi,mana vyote ni vitu personal na mmiliki wa chupi anayohaki ya kuivaa ama kutoivaa,kumvulia mtu ama kutomvulia etc.
Na pia nlichofanya ni kufahamisha juu ya haki za mwenye simu yake.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna watu wanaongeaga pumba namna hii mpka unaweza piga chafya...Vinaendana maana hata mwili wako ni personal. Mnapokuwa mmekubaliana watu wawili jambo hapo si suala la simu ni ya nani ila unawajibika kuiweka hewani maana mmekubaliana kuwa mtapigiana, hapo chenye nguvu ni makubaliano wala sio simu tena. Kama hauna makubaliano yoyote simu yako ni yako mwenyewe waweza hata kuzima mwaka mzima na hakuna mtu wa kukukoromea labda sanasana utaulizwa na wale wanaokujali. Mfano wangu niliotoa nilikuwa namaanisha suala linaweza kuwa ni la kwako binafsi lakini likasababisha usumbufu mkubwa kwa watu wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
C ndo shida yenyewe hiyo...umesha kunywa viagra halafu unazimiwa simu...
Kwenye miadi ndo haki ya simu...ucngeweka miadi na mtu bac...Mkuu tuelewane kwanza mimi sijatetea tabia ya kuzima simu au kutopokea simu sababu hata mimi pia inanikera,mie nimesema tu ni haki ya mmiliki wa simu kupokea ama kutopokea na kuzima ama kutozima simu yake
Sent using Jamii Forums mobile app