AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,651
- 4,758
Mkuu hakuna kitu kinakera kama mmekubaliana jambo halafu unafika wakati mlengwa amezima au hapokei Simu. Sio kwenye mahusiano tu hata katika biashara na mambo mengine ya kijamii
Barabara kabisaMkuu hakuna kitu kinakera kama mmekubaliana jambo halafu unafika wakati mlengwa amezima au hapokei Simu. Sio kwenye mahusiano tu hata katika biashara na mambo mengine ya kijamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna njia nzuri zaidi ya kuwa muwazi mkuu, at all odds kuzimiana simu ni weakest point kabisa. Kuna watu wanakera kweli kweli ila naamini ukisimamia unachokiamini hutotikiswa kamwe.
Inakera sana mkuu mfano we ni mfanyabiashara ( haya maduka yetu ya mkononi) mtu anakuagiza njoo muda fulani saa kumi niletee bidhaa ukishuka mwenge nipigie, mwenyewe unajibeba mpaka mwenge unafika piga piga na wewe mtu hapokei unakaa saa nzima unaamua kurudi zako mbagala baadae anakutafuta eti samahani simu ilikuwa kwenye mkoba sikusikia inaita unatamani umporomoshee mitusi
Basi tu mwingine alikuwa anatest zali akiona namna gani vipi anakuzimia simu kabisa! Kwenye sehemu ya biashara tunaweza kuichukulia kama easy go ila inaboa kishenzi aisee.... Mimi bora mtu anitukane kulikoni kuzimiwa simu au kutopokea smu yangu.Inakera sana mkuu mfano we ni mfanyabiashara ( haya maduka yetu ya mkononi) mtu anakuagiza njoo muda fulani saa kumi niletee bidhaa ukishuka mwenge nipigie, mwenyewe unajibeba mpaka mwenge unafika piga piga na wewe mtu hapokei unakaa saa nzima unaamua kurudi zako mbagala baadae anakutafuta eti samahani simu ilikuwa kwenye mkoba sikusikia inaita unatamani umporomoshee mitusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hizo siyo biarashara. Utazimaje simu kwenye mambo ya msingi?Mkuu hakuna kitu kinakera kama mmekubaliana jambo halafu unafika wakati mlengwa amezima au hapokei Simu. Sio kwenye mahusiano tu hata katika biashara na mambo mengine ya kijamii
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee tuseme kwa sababu mtu mwili ni wa kwake ana haki ya kujipaka ma.vi akapanda daladala akaenda hadi ofisiniKwanza tuweke rekodi sawa,kama mtu alinunua simu kwa pesa yake,akaenda kusajili laini na akaiwekea vocha basi anayo haki ya kuizima na kuiwasha anapojiskia,na anahaki ya kupokea ama kutopokea simu yoyote anayopigiwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
OK. Biashara kama hizi sawa. Huyo ni mteja tuInakera sana mkuu mfano we ni mfanyabiashara ( haya maduka yetu ya mkononi) mtu anakuagiza njoo muda fulani saa kumi niletee bidhaa ukishuka mwenge nipigie, mwenyewe unajibeba mpaka mwenge unafika piga piga na wewe mtu hapokei unakaa saa nzima unaamua kurudi zako mbagala baadae anakutafuta eti samahani simu ilikuwa kwenye mkoba sikusikia inaita unatamani umporomoshee mitusi
Sent using Jamii Forums mobile app
Aha kumbe ni cheap labour tu eh??Punguza jazba basii mzee baba...hao cheap labours ndivyo walivyo,. mwanamke makini hamsumbui mtu anakupa makavu live,.anaachana na ww kiroho safi,.hakuna haja yakupotezeana muda.
Mkuu umefanya mlinganyo wa vitu viwili tafauti kabisa, mwili na kujipaka Kimba,Na simu ya mkononi na maamuzi ya kuiweka hewani na kupokea ama kutopokea si vitu unavyoweza kuvilinganisha.Ni sawa na kufanya comparison kati ya Gari na ndizi mbivu.ni bora hata ungelinisha simu ya mkononi na chupi,mana vyote ni vitu personal na mmiliki wa chupi anayohaki ya kuivaa ama kutoivaa,kumvulia mtu ama kutomvulia etc.Aisee tuseme kwa sababu mtu mwili ni wa kwake ana haki ya kujipaka ma.vi akapanda daladala akaenda hadi ofisini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umefanya mlinganyo wa vitu viwili tafauti kabisa, mwili na kujipaka Kimba,Na simu ya mkononi na maamuzi ya kuiweka hewani na kupokea ama kutopokea si vitu unavyoweza kuvilinganisha.Ni sawa na kufanya comparison kati ya Gari na ndizi mbivu.ni bora hata ungelinisha simu ya mkononi na chupi,mana vyote ni vitu personal na mmiliki wa chupi anayohaki ya kuivaa ama kutoivaa,kumvulia mtu ama kutomvulia etc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tuelewane kwanza mimi sijatetea tabia ya kuzima simu au kutopokea simu sababu hata mimi pia inanikera,mie nimesema tu ni haki ya mmiliki wa simu kupokea ama kutopokea na kuzima ama kutozima simu yakeVinaendana maana hata mwili wako ni personal. Mnapokuwa mmekubaliana watu wawili jambo hapo si suala la simu ni ya nani ila unawajibika kuiweka hewani maana mmekubaliana kuwa mtapigiana, hapo chenye nguvu ni makubaliano wala sio simu tena. Kama hauna makubaliano yoyote simu yako ni yako mwenyewe waweza hata kuzima mwaka mzima na hakuna mtu wa kukukoromea labda sanasana utaulizwa na wale wanaokujali. Mfano wangu niliotoa nilikuwa namaanisha suala linaweza kuwa ni la kwako binafsi lakini likasababisha usumbufu mkubwa kwa watu wengine
Sent using Jamii Forums mobile app