Bosi kama ZZK ni mnafiki na huyu DJ wa bilz utamuitaje?
Ametuaminisha EL n fisadi halafu leo anatuambia habari zakilofa,huyu unamuona sawasawa?
Lowasa akiwa ccm alipigwa mkwara asianike ukweli ndiyo maana alikaa kimya sasa yupo huru kaanika Ukweli yapo mengi mtayasikia huko mbeleni.