Kuzikwa na wengi sio kwenda peponi

Kuzikwa na wengi sio kwenda peponi

gimmy's

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2011
Posts
3,340
Reaction score
3,394
Hili ni bango ambalo limeonekana ktk mkutano wa ufunguzi wa chama cha ACT wazalendo hivyo wazee wa mafuriko hii ni tafakari kwenu.
Mchange anawakumbusha watanzania juu ya ufisadi wa ndugu Lowasa ambaye alitajwa kwenye orodha ya mafisadi pale mwembe yanga ambapo leo UKAWA ndiye raisi wao.
Mchange anamtaja Sumaye kwamba ni mlaghai mkubwa,
Mchange anawatahadharisha watanzia kwamba Chadema na UKAWA vimenunuliwa na mafisadi na UKAWA imekua maficho ya mafisadi.
Mchange anashangaa mtu kujinasibu kwamba atamtoa babu seya huku wakati babu seya anafungwa yeye alikua na mamlaka makubwa.
Mchange anawatahadharisha watanzania juu ya huu ulaghai unaofanywa na UKAWA.
Zitto kabwe anashangaa sasa ufisadi umekua sio agenda tena.
Hii ni sms kwa yeyote atakaeguswa,
Matusi sitaki
 
Kweli. Lakini kuwa na wafuasi wengi watakaokupigia kura ndio kuwa raisi!!
 
Nimecheka sana baada ya kuliona bango la maneno ya title yako.."kuzikwa na wengi si kwenda peponi"...nikawaza na kuwazua nikasema watu wana mambo,eti "kuwa na nyomi kubwa si hakikisho la kukupeleka ikulu",nimecheka sana.
 
Nimecheka sana baada ya kuliona bango la maneno ya title yako kwenye TV.."kuzikwa na wengi si kwenda peponi"...nikawaza na kuwazua nikasema watu wana mambo,eti "kuwa na nyomi kubwa si hakikisho la kukupeleka ikulu",nimecheka sana.
 
Huyu jamaa alieandika huu usemi october ikifika ndio UKAWA watamuelewa vizuri ila leo kwakua siasa imegeuka kama ushabiki wa mpira anaonekana kama hajielewi
 
Nimecheka sana baada ya kuliona bango la maneno ya title yako kwenye TV.."kuzikwa na wengi si kwenda peponi"...nikawaza na kuwazua nikasema watu wana mambo,eti "kuwa na nyomi kubwa si hakikisho la kukupeleka ikulu",nimecheka sana.

Umecheka nini? Mbona jambazi, au Gaidi hazikwe na watu wengi? Tokea lini mtu Hatari kwa jamii akazikwa na watu wengi? ATC ni chama njaa kali kinakula na kuishi kwa msaada wa ccm huku ( jepesi) Zito akiishi kwa kuunda skendo za hapa na pale kujitengenezea mazingira ya rushwa pesa haramu, pesa kwa Ajili ya kuuhujumu ukawa, Zito zi mpinzani kwa sasa amegeuka kuwa Dalali wa siasa na mchumia Tumbo tu hana lolote.
 
Ukiiba pesa za escrow, EPA, vivuko, mabehewa, ATC, buzwagi, unazikwa na wengi? Na ukizikwa unaenda motoni au peponi?
 
Umecheka nini? Mbona jambazi, au Gaidi hazikwe na watu wengi? Tokea lini mtu Hatari kwa jamii akazikwa na watu wengi? ATC ni chama njaa kali kinakula na kuishi kwa msaada wa ccm huku ( jepesi) Zito akiishi kwa kuunda skendo za hapa na pale kujitengenezea mazingira ya rushwa pesa haramu, pesa kwa Ajili ya kuuhujumu ukawa, Zito zi mpinzani kwa sasa amegeuka kuwa Dalali wa siasa na mchumia Tumbo tu hana lolote.

Mshageza tena,
Kweli prof Kitila amesema kweli hamueleweki,hapo mwanzo mlisema ACT inadhaminiwa na EL,leo inadhaminiwa na CCM?Kesho mtakuja na lugha tofauti!
 
Hili ni bango ambalo limeonekana ktk mkutano wa ufunguzi wa chama cha ACT wazalendo hivyo wazee wa mafuriko hii ni tafakari kwenu.
Mchange anawakumbusha watanzania juu ya ufisadi wa ndugu Lowasa ambaye alitajwa kwenye orodha ya mafisadi pale mwembe yanga ambapo leo UKAWA ndiye raisi wao.
Mchange anamtaja Sumaye kwamba ni mlaghai mkubwa,
Mchange anawatahadharisha watanzia kwamba Chadema na UKAWA vimenunuliwa na mafisadi na UKAWA imekua maficho ya mafisadi.
Mchange anashangaa mtu kujinasibu kwamba atamtoa babu seya huku wakati babu seya anafungwa yeye alikua na mamlaka makubwa.
Mchange anawatahadharisha watanzania juu ya huu ulaghai unaofanywa na UKAWA.
Zitto kabwe anashangaa sasa ufisadi umekua sio agenda tena.
Hii ni sms kwa yeyote ataguswa,
Matusi sitaki

Zito mwenyewe ni mwizi mwizi kazi yake ni kuchungulia wizi akiuona huwatisha Wezi kisha kupozwa kwa kupewa migao yupo double standard ni bonge la mnafiki haaminiki kwa wananchi wajanja wenye kujielewa, sasa anaishi kwa misaada ya ccm eti naye anajidai ni mpinzani ili waje kugawa kura pia kushirikiana na ccm kuiba kura, Zito hana lolote ni wajinga pekee watamwamini.
 
Mshageza tena,
Kweli prof Kitila amesema kweli hamueleweki,hapo mwanzo mlisema ACT inadhaminiwa na EL,leo inadhaminiwa na CCM?Kesho mtakuja na lugha tofauti!

Lugha hii ya kudhaminiwa na CCM ni ya milele ujue ACT vijamaa vina njaa balaa vipo tayari kufanya lolote ili vipate pesa toka ccm.
 
Zito aeleze katoa wapi pesa za kampaini na kuweza simamisha wabunge zaidi ya 200 kama sio ufadhili wa mwigulu. Aende zake mpinzani wa wapinzani....
 
ATC na CCM ni chama kimoja Mwenyekiti wao ni yule yule aliyekwenda Dodoma na Majina yake Mfukoni akawadhalilisha Bilali na pinda kuwa hawana maadili lakini akawapitisha membe na January kuwa wana maadili wakati wamejaa tuhuma nyingi, Zito na wenzake wabadili jezi wavae kijani na njano tu tujue moja kuliko kuwa wanafiki wakubwa.
 
Ukimsachi Zito Mfukoni huwa anatembea na kadi ya ccm mda wote yeye ni mwana ccm aliye ACT kwa mda tu akisoma mazingira.
 
Zito aeleze katoa wapi pesa za kampaini na kuweza simamisha wabunge zaidi ya 200 kama sio ufadhili wa mwigulu. Aende zake mpinzani wa wapinzani....

Hili swali alishawajibu,
Naomba nimnukuu,
"Mlipopita nyinyi wakati ule mnazunguka na helkopta nchi nzima ndipo hukohuko na mimi nimepita".
Sasa waulize viongozi wako wakati ule chama bado ni kichanga,ruzuku za chama ndogo lakini waliweza kuzunguka na helkopta nchi nzima,hizo pesa walizipata wapi?
Halafu kabla ya EL hajahamia ukawa mlisema ACT inadhaminiwa na EL,leo Mwigilu!
hamueleweki!
 
Zito mwenyewe ni mwizi mwizi kazi yake ni kuchungulia wizi akiuona huwatisha Wezi kisha kupozwa kwa kupewa migao yupo double standard ni bonge la mnafiki haaminiki kwa wananchi wajanja wenye kujielewa, sasa anaishi kwa misaada ya ccm eti naye anajidai ni mpinzani ili waje kugawa kura pia kushirikiana na ccm kuiba kura, Zito hana lolote ni wajinga pekee watamwamini.

Bosi kama ZZK ni mnafiki na huyu DJ wa bilz utamuitaje?
Ametuaminisha EL n fisadi halafu leo anatuambia habari zakilofa,huyu unamuona sawasawa?
 
Back
Top Bottom