Umewaza mbali SanaMie nimekuja mbio nilifikiri ni ule uzibuaji maarufu
Halafu wewe unamjua John Nchimbi au Benjamin Komba?Umewaza mbali Sana
[emoji23][emoji23][emoji23] ndio ujue wahindi ni watu wa ajabu zaidi duniani.Duh aise,
Sidhani kama sisi Tanzania kuna mtu anaweza kujitoa ufahamu kiasi hicho na akawa ndio kazi yake ya kila siku.
Ukipiga diving moja tu kama hio unaweza ukakosa hamu ya kula mwezi mzima, ukaugua kuharisha week hata mbili. Halafu ukatoka umechubuka kama umetumia MKOROGO ule anaotumia bwana wake Amber-Rutty. [emoji18]
Hahaha..mlifikia mji gani mkuu!!? Na hao huyo mhindi mmoja aliyekuwa akikulilia alikuwa ni me' au ke'!??Nliwahi kwenda india kikazi miezi sita, mhindi mmoja siku naondoka alilia kabisa anaomba nimlipie nauli aje Tanzania akijua sisi ni nchi tajiri sana, kulingana na life style tuliyokuwa tunaishi pale. Ila ukweli nlikuwa naujua mwenyewe. Isingekuwa akili za ziada ningeondoka bila hata senti. Yaan tulilelewa na wahindi kama wafalme
Inatufundisha kuwa ukiona kazi yako ngumu, mfikirie huyu...ni thread fikirishi kwa kweli..Ukistaajabu ya Musa utayaona ya firauni,
Pichani ni mmoja wa wafanyakazi wa kuzibua mitaro a.k.a sewage nchini india, kazi ambayo inasemekana ni hatarishi zaidi kuliko kazi zote duniani akiwa kazini.
Kama anavyoonekana pichani, kijana huyo aliyeibuka kutoka kwenye moja ya chemba ya vinyesi vya binadamu mjini Ghaziabad, Uttar Pradesh, akiwa hana kitendea kazi chochote zaidi ya kamba anayofungwa kiunoni.
Valmiki' ni jamii ya watu fukara kabisa nchini India ambao wanasifika nchini humo kwa kufanya kazi za kuzibua sewage au vyoo katika miji mikubwa nchini india.View attachment 908573