IKIRIRI
JF-Expert Member
- Jan 14, 2018
- 2,734
- 3,033
Ndugu wadau,kwa malezi tuliyolekewa ni hatari sana,
Mimi binafsi inatokeaga siku3 sijatoka nje ya mlango wa chumba changu.
Ila nakula,naoga napata huduma zote kupitia mama watoto.
Yaani natumia mda wote huo siku 3 kitandani,nabadilisha channel tu...
Some tym najistukia ila ndio mfumo tuliozoea...kazi zote hizo usiku show kama kawa....
God blec the women.....
Huu mfumo uko Afrika tu....