Kuzaliwa kwa CCM February 5 na kifo cha ASP

Kuzaliwa kwa CCM February 5 na kifo cha ASP

Bagamoyo

Platinum Member
Joined
Jan 14, 2010
Posts
32,407
Reaction score
37,261
4 Feb 2020

Zanzibar ilivyopoteza kwa kuiuwa ASP

Mwanasiasa mkongwe na aliyewahi kushika nyadhifa mbalimbali kwenye serikali ya Zanzibar, Juma Duni Haji, anasema ingawa CCM Zanzibar wanaadhimisha miaka 43 ya kuundwa chama hicho, lakini wanapaswa kukumbuka kuwa kuzaliwa kwa CCM hapo mwaka 1977 kwa kuviunganisha vyama vya Afro-Shiraz cha Zanzibar na kile cha TANU cha Tanganyika kuliashiria kuimaliza kabisa Zanzibar kisiasa, kiuchumi na kimamlaka. Wewe unasemaje?

Kura ya turufu 2/3 kwa maamuzi yote makubwa chini ya Mwalimu Nyerere ilifanya kazi pande zote mbili na Nyerere aliikazia. Lakini leo hii katiba ya CCM jambo hilo limekuwa kibogoyo haitafuni kwa maana nyengine haifuatwi. Mambo yana buruzwa ushawishi hautumiki na vikao kuamua mambo makubwa juu ya Zanzibar na Tangayika ktk Muungano hakuna tena.

Source: Weyani TV
 
CCM ya 1977 na CCM ya 2017-2020 ni vyama viwili tofauti vyenye majina yanayofanana na vinavyotumia usajili mmoja baada ya kile CCM 1977 kufariki dunia na hakipo tena.
Hivyo waweza kuvipa mfano wa jina Nyerere. Yupo Nyerere (Julius) ambaye alikuwa mwanafalsafa mtumia akili ambaye sasa ni marehemu na yupo Nyerere (Makongoro) ambaye ni Mlevi na mchumia tumbo.
Ni makosa sana kama utasema huyo ni Nyerere mmoja au CCM hiyo ni moja.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuna CCM mpya tangu 2015
 
Back
Top Bottom