Kuzaa watoto usioweza kuwatunza ni kuongeza vibaka mitaani

James Kasonda

Member
Apr 2, 2012
84
49
Ukitembelea mitaani nyakati za mchana utashangaa kuona vijana wengi wakiwa wamezagaa mitaani bila kuwa na shughuli yoyote ya kufanya.

Unapojiuliza hao vijana wanaishije bila kufanya kazi yoyote ndipo utakapojua kwa nini uhalifu umekuwa ukiongezeka siku hadi siku. Kijana ambaye hajala chochote siku nzima anaweza kufanya chochote ili apate walau pesa ya kwenda kula kwa mama nitilie.

Nadhani sasa ni wakati muafaka kwa nchi yetu kupeleka muswada bungeni ili sheria itungwe ya kuzuia watu kuzaa zaidi ya watoto wawili. Tunarundika watoto mitaani halafu hatuwapi msaada wowote!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom