Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,882
Sasa hili la kujifungua kwa operation ni la madaktari, pamoja na wazoefu wa mambo hayo.
weka picha tuone kwanza hiyo papuchi ilivyoNaombeni kuuliza mwanamke anaeanza kuzaa kwa mara ya Kwanza kama Ana miaka 36 kwenda juu anaweza kuzaa kwa kupush?
Na ikiwa Ni mapacha je inawezekana kupush au lazima operesheni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusaikolojia kivipi mkuu?Unaweza sana kupush...sidhan km kuna ulazkma wa operation..!kila la heri...ila jiandae kisaikolojia pia
Jamani.ila inawezekana? Operesheni inatishaHili swala huwez kuconfirm tu kuwa lazima operesheni ila mwanamke akishafikisha miaka 35 tayari anakuwa katika risk .
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na wewe ni kaajuza .Naombeni kuuliza mwanamke anaeanza kuzaa kwa mara ya Kwanza kama Ana miaka 36 kwenda juu anaweza kuzaa kwa kupush?
Na ikiwa Ni mapacha je inawezekana kupush au lazima operesheni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Naombeni kuuliza mwanamke anaeanza kuzaa kwa mara ya Kwanza kama Ana miaka 36 kwenda juu anaweza kuzaa kwa kupush?
Na ikiwa Ni mapacha je inawezekana kupush au lazima operesheni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Umekosea jukwaa, ungepost JF Doctor. Anyway huwa nasikia kunakuwa na complications. Wanawake msichelewe kuzaa, mna biological clock. Sisi wenzenu ni anytime tunafyatua si unamcheki Profesa na Le Billionare...
kujifungua kwa upasuaji inatokana na complications za uzazi utazokutana nazo kipindi cha ujauzito,na mostly inatokana na ushauri wa daktari,....hospitali za serikali mjamzito kufanyiwa upasuaji ni alternative ya mwisho kabisa kama kwa njia ya ku push imeshindikana kabisa.... though according to research Upasuaji ndio njia salama zaidi ya kujifungua maana kuna baadhi ya risk mnaweza kuzidhibiti kabla au baada,....nimewahi shuhudia binamu yangu amepoteza maisha kwa sababu ya kutofanyiwa upasuaji hako ka hospitali kalilazimisha a push kawaida,mwishoni aka bleed to much mwisho akapoteza maisha,lakini isingetokea kama angefanya upasuaji....for your question,mtu wa miaka 36 kujifungua kwa njia ya kawaida is possible bila tatizo lolote!Naombeni kuuliza mwanamke anaeanza kuzaa kwa mara ya Kwanza kama Ana miaka 36 kwenda juu anaweza kuzaa kwa kupush?
Na ikiwa Ni mapacha je inawezekana kupush au lazima operesheni?
Sent using Jamii Forums mobile app
nafikiri hii inategemea na afya ya mzazi, wajua umri sio tatizo, kikubwa afya tu....Naombeni kuuliza mwanamke anaeanza kuzaa kwa mara ya Kwanza kama Ana miaka 36 kwenda juu anaweza kuzaa kwa kupush?
Na ikiwa Ni mapacha je inawezekana kupush au lazima operesheni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Post basi nikugegede[emoji12][emoji12]
Nataka nijilipue bna ila naogopa operesheni sana.sijui nifanyejeUmekosea jukwaa, ungepost JF Doctor. Anyway huwa nasikia kunakuwa na complications. Wanawake msichelewe kuzaa, mna biological clock. Sisi wenzenu ni anytime tunafyatua si unamcheki Profesa na Le Billionare...