Kuzaa bila ndoa.

eeeh! wanawake tuna kazikutoa mimba lawama kwa wanawake, kuzaa lawama kwa wanawake.....mbona kazi!!!! Hizo mimba tunajitengenezea wanawake pekeetu???
 
Inaonekana wewe ni mmoja kati ya mabinti wengi msiojua elimu ya uzazi/ biolojia ya uzazi, njia hizo za nyota huwa zinamadhara makubwa zinaweza kukuletea kansa, ukashindwa kuzaa kabisa pindi utakapohitaji au kukuharibu mwili wako, kwanini usitumie kondom au kuangalia tarehe tu zile ambazo ni hatari unaacha kugegedwa au unatumia zana. Acheni kutumia madawa nnyi warembo

 
Ndoa ndoana. ndoa ni kifungo ndoa ni utumwa. mawazo ya watu wasiooa ni kuwa ndoa ni kitu ca furaha sana kumbe wanajidanganya. wanaojua hilo huamua kuzaa na kuendelea na maisha yao. lakini kwa mujibu wa dini zetua ndoa ni lazima. kinyume ni dhambi. kwa hali halisi ni tofauti kabisa. ingekuwa dini zinabadilika ndoa zingefanya kwa mkataba na si kwa imani
 
Hapa ninahesabu zangu bado kidooogo.... zikitimia tu najibebea mimba (Inshallah) najizalia mtoto wangu. Haitakua nimezaa bahati mbaya, nisipopata ndio itakua bahati mbaya
 
yote makosa, kufanya uzinzi kabla ya ndo na kuzaa kabla ya ndoa. Muhimu ni likikutokea kati ya hayo ukatubu kwa imani yako. Unaweza ukawa mjanja sana kukwepa kubeba/kubebesha mimba lakini ukawa mwongo/ mnafiki n.k zote dhambi. Nawasilisha...!
 

Maana ya ndoa hakuna tena? Kuna watu wanafurahia ndoa zao rafiki. Kwa vile ndoa ni mpango wa Mungu amini maana haitapotea kamwe, wanapotea wasiojielewa tu.
 
hizo mimba wanajipa wenyewe au? hao wanaowapa mimba sio malimbukeni?
halafu si kula mtu anataka ndoa. wengine wanazaa na kulea watoto wao.
hata wasio kwenye ndoa wana haki ya kupata watoto, ni utaratibu wa maisha tu ambapo kila mmoja ana utaratibu wake as long as havunji sheria
 
I won't waste my energy

Bottom line is we as human beings have a set of morals we have to follow,

Hata kama huna dini basi Hata Mila la kabila lako zinasemaje??

Nilikuambia kama wataka argue toa hoja....Kama suala ni dini tu basi ningeona una hoja kama hizo ndoa zenyewe zingekuwa imara.
Dini watu wanazo....tena wapo ndoani....lakini matendo yao bora hata wasio na hizi dini za urithi...unafiki mtupu
 
Ulimbukeni unajua circumstances zilizosababisha
Busy kujudge tu as if you are perfect

Unajua maana ya neno ulimbukeni?

Kama unajua naomba uniandikie maana yake hapa
 
njia hizo za nyota huwa zinamadhara makubwa zinaweza kukuletea kans,, kwanini usitumie kondom au kuangalia tarehe tu zile ambazo ni hatari unaacha kugegedwa au unatumia zana. Acheni kutumia madawa nnyi warembo
Hata Calendar na Condom ni miongoni mwa hizo njia za nyota. Pamoja na hayo madawa unayoyasema
 
kuzaa bila ndoa ni sawa na kazi bila mkataba!!

anything can happen at any time t!

life is not guaranteed there!
 

Na wala usiikaribie Zinaa.

Tukizingati hilo yote haya yasingetokea
 
Kama hakuna ndoa basi jua uwezekano wa kulelewa na wazazi wawili ni mdogo...

Maana mtoto wa kwanza unakuta wa Juma...kalea amefika miaka 2 kapata mwanamke mwingine kakata kuanzia mapenzi kwa mtoto mpaka kwa mama not to say matunzo...

mtoto wa pili wa John...kalelewa baadae John kaona mrembo mwingine hana muda na wewe mama wawili ...na aoni kuwa ni dhambi kwani yeye si wa kwanza kukubwaga

Uoni kuwa ni ngumu mtoto wa nje ya ndoa kupata malezi ya wazazi wawili?...na akiyapata basi jua hao couples ni kama wameoana tu ila si kwenye makaratasi... maana wameweza kudumu kwenye uhusiano mpaka mtoto amekua


 
Afu sijuhi kwa nini watu wanawaona waliozaa nje ya ndoa kama innocent fulani...as if hawajawahi au hawajuhi kutoa mimba ndio maana wamezaa...

Watoa mimba wanaweza kuwa hao walozaa nje ya ndoa na walioolewa....fikiri kwa undani...hujawahi sikia huyu kazaa sababu hii mimba doctor kamwambia akiitoa basi na kizazi kwishney maana keshatoa kama 10 hivi??????

Aliyetoa mimba huwezi mjua kwa watoto asonao au alonao

Unaweza kuwa hujazaa nje ya ndoa lakini umetoa mimba nne nje ya ndoa kwahiyo wee ni balaa zaidi kuliko aliyezaa nje ya ndoa
 

Hizo mimba hawakujipa wenyewe lakini pia hakuna aliyewalazimisha kutoa kiuno wakazaa maana mwanamke kutongozwa ni lazima lakini kukubali ni utashi wake unless apipewa mimba kwa kubakwa. Kwahiyo kiuno alitoa mwenyewe kwa utashi wake hakulazimisha na mtu
 
Kalenda sidhani kama ni nyota maana ninyi mnaotumia nyota maana yake mnatumia njia za kemikali kama sindano, vidonge, vijiti kujizuia kupata mimba. Kwahiyo kama unatumia nakushauri uache

Hata Calendar na Condom ni miongoni mwa hizo njia za nyota. Pamoja na hayo madawa unayoyasema
 

kama hujaolewa huna haki ya kupata mtoto kamwe.
 

ni tatizo kuzaa nje ya ndoa maana wengi unakuta sio kwamba walukubaliana ni kwamba mwanamke alitaka....trust me mwanaume ukimfanyia hivyo anakuona wee hufai mwisho watoto wanateseka.
 
Mpige vita ngono kabla ya ndoa, si matokeo ya ngono baasi... Mnafanya ngono mkitegemea nini? Haya ndio matokeo ya kutokuzingatia maadili, jiandaeni vilivyo maana lijalo ni kubwa zaidi ya mimba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…